Kada mashuhuri wa CCM ajiunga CHADEMA

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Kada wa CCM jimbo la Ngara, Dr Peter Bujari ametangaza uamuzi wa kujitoa CCM na kujiunga na CHADEMA hivi punde.

Amewaambia wanahabari kuwa CCM imeshindwa kuondoa kero mbalimbali.

Pia amesema amejiunga na CHADEMA kutokana na sera na Uongozi thabiti. na usioyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.

Source:Mwananchi Breaking News.
 
na aelewe kwamba huku chadema hawacheki na nyani,nia nia ya chadema ni moja tu,kuin`goa ccm
 
Akabidhiwe kwenye uongozi wa Jimbo kwa uchunguzi haraka, nina imani kubwa sana na uongozi wa chini wa Chama kuliko makao makuu, makao makuu kumekuwa na bureaucracy ndefu sana katika kuwachukulia wanachama wajinga wajinga hatua za kinidhamu.
 
Kada wa CCM jimbo la Ngara, Dr Peter Bujari ametangaza uamuzi wa kujitoa CCM na kujiunga na CHADEMA hivi punde.

Amewaambia wanahabari kuwa CCM imeshindwa kuondoa kero mbalimbali.

Pia amesema amejiunga na CHADEMA kutokana na sera na Uongozi thabiti. na usioyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.

Source:Mwananchi Breaking News.

Ameamua kuvua gamba
 
Jana kuna kamanda mmoja nilikuwa naye kwenye line akawa ananambia jinsi Ngara panavochemka kipindi hiki na CDM inavyozidi kuchanja nmbuga

Hongera sana makamanda hapo wilayani kazi inaonekana
 
karibu kamanda,Angalizo huku Chadema hapendwi mtu bali kazi kwa kwenda mbele,usaliti na kulindana huku no,karibu sana tupambane na manyang'au ya CCM
 
Kada wa CCM jimbo la Ngara, Dr Peter Bujari ametangaza uamuzi wa kujitoa CCM na kujiunga na CHADEMA hivi punde.

Amewaambia wanahabari kuwa CCM imeshindwa kuondoa kero mbalimbali.

Pia amesema amejiunga na CHADEMA kutokana na sera na Uongozi thabiti. na usioyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.

Source:Mwananchi Breaking News.

Ntukamazima(?) tumbo joto

Sijui 2015 CCM watabaki na majimbo gani? I'm affraid wanaweza kushindwa hata kuunda kambi rasmi ya upinzani Bungeni, na badala yake huenda ikaundwa na CUF!

Let's wait and see
 
Waswahili waliumiza vichwa sana kwa misemo yao.....
Mfano:ukitaka kujua tabia ya mtu mtupie furushi la hela
Nzi hawezi kuja kwako bila sababu
Lisemwalo lipo kama halipo laja
Jambo haliwi jambo mpaka mwenye Jambo amaue kujamba
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe
Akili za kuambiwa changanya na za kwako
Shimo haliwi shimo mpaka utumbukie ndipo utakapo jua hilo ni shimo

Misemo hii ina maana kubwa sana kwa wale welevu na wadadisi

"washamba nyie wenye mashamba ya bangi na mirungi"
 
Kada wa CCM jimbo la Ngara, Dr Peter Bujari ametangaza uamuzi wa kujitoa CCM na kujiunga na CHADEMA hivi punde.

Amewaambia wanahabari kuwa CCM imeshindwa kuondoa kero mbalimbali.

Pia amesema amejiunga na CHADEMA kutokana na sera na Uongozi thabiti. na usioyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.

Source:Mwananchi Breaking News.

wamepanda wameshuka wanatetemeka jana ilikuwa zamu yao leo imekula kwao...ITAFAHAMIKA TU..karibu kamanda lkn kujiunga cdm ni hatari..ila ni hatari zaidi km unatoka ccm
 
Kada wa CCM jimbo la Ngara, Dr Peter Bujari ametangaza uamuzi wa kujitoa CCM na kujiunga na CHADEMA hivi punde.

Amewaambia wanahabari kuwa CCM imeshindwa kuondoa kero mbalimbali.

Pia amesema amejiunga na CHADEMA kutokana na sera na Uongozi thabiti. na usioyumba wa Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.

Source:Mwananchi Breaking News.

mimi sio mwanachama wa CCM ila nalaan na kupinga wanaomuita Dkt Bujari kada wa CCM. na ntaweka sababu
1) huyu jamaa ameanza kufahamika kwenye siasa za Ngara baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge hiyo inaleta picha kwamba alichofuata CCCM ni UBUNGE tu nashukuru watu wa Ngara tulimuelewa
2) chaguzi za ndan ya chama jamaa hajawahi kuchangia chochote na uchaguzi uliopita jamaa alipoombwa mchango alitoa maneno ya kejeli
3) ni mkabila, jamaa alianzisha DIVIDE AND RULE kwa kutaka kutugawa wana Ngara. Hapa Mkazi wa Ngara ataelewa tofauti kdogo iliyopo baina ya Bugufi na Bushubi jamaa alieendeleza kampeni za tumchague WAKWETU
4) baada tu yakupigwa chini kwenye uchaguzi wa ndani ya chama magari yake yalianza kupeperusha bendera za CHADEMA nalazimka kuamini hata huko ndicho anachofuata
kwa taarifa zaid nasikia amekuwa mchungaji na anampango wa kuanzisha kanisa lake pale Rulenge,
Kweli CDM mmepata jembe
 
ndo kwanza hili jina naliona leo. karibu dr peter.

Back
Top Bottom