Kada Maarufu wa CHADEMA Mtaa wa Sahara, Jijini Mwanza Aapa Kufa na Wasaliti wa CHADEMA

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
140
Kada huyo Maarufu wa CHADEMA Mitaa ya Sahara Jijini Mwanza aitwaye "GERALD SHIRIMA" 0754844811, Katika Mahojiano Kati yake na Mwandishi Wetu ameapa Kula Sahani moja na Wasaliti, Masalia au Mapandikizi ya Chadema Wanaowapotosha Watu Kwenye Vijiwe Vya Uji na Kahawa Jijini humo na Kutoa Matamko ya Kizushi Kwenye Vyombo vya Habari huku Wakijipachika Vyeo bandia ili Kuwachafua Viongozi wa Chama na Chama Kwa Ujumla! Bw. Shirima ameongeza Kwa Kusema "Kama Wahusika hao ni Wanaume... Warudie Upumbavu wao au Wajaribu Kuleta Vurugu na Ubebaji Wao wa Mabango Kwenye Mkutano wa Hadhara wa Kamanda Mbowe leo Jumapili 15/12/2013 Kuanzia Saa 8:00 Mchana, Utakaofanyika Katika Viwanja vya Shule ya Msingi Nyamalango Karibu na Chuo Kikuu Cha St. Augustine Saut-Malimbe hapa Mwanza.
 
Na afe tu. kwani ana manufaa gani kwa taifa? Huenda na yeye ni msaliti nambari moja ila kwa vile anatoka CHADEMA SEBULENI, ndo maana anaongea hivyo
 
Na afe tu. kwani ana manufaa gani kwa taifa? Huenda na yeye ni msaliti nambari moja ila kwa vile anatoka CHADEMA SEBULENI, ndo maana anaongea hivyo

Siku zote CHADEMA huwa haina Muda wa Kugusa Condom zilizotumika Kama Wewe! Kubwa zaidi 2naziweka mbali na Watoto...
 
Kada huyo Maarufu wa CHADEMA Mitaa ya Sahara Jijini Mwanza aitwaye "GERALD SHIRIMA" 0754844811, Katika Mahojiano Kati yake na Mwandishi Wetu ameapa Kula Sahani moja na Wasaliti, Masalia au Mapandikizi ya Chadema Wanaowapotosha Watu Kwenye Vijiwe Vya Uji na Kahawa Jijini humo na Kutoa Matamko ya Kizushi Kwenye Vyombo vya Habari huku Wakijipachika Vyeo bandia ili Kuwachafua Viongozi wa Chama na Chama Kwa Ujumla!

Sema kijana wa kichaga shirima .......ili watu wajue why
 
Siku zote CHADEMA huwa haina Muda wa Kugusa Condom zilizotumika Kama Wewe! Kubwa zaidi 2naziweka mbali na Watoto...
Mkuu, si tu hamzishiki condom zilizotumika bali hamtumii kabisa condom. Ndo maana mnazaa hovyo hovyo tu watoto wa nje ya ndoa
 
Hivi ni nini maana ya Kada Maarufu? Maana nimemsikia Mbowe akisema kuwa haijalishi umekaa kwa muda gani ndani ya chama bali wanaangalia ni nini umechangia
 
"SHIRIMA" ...... Watu wa kule kule
watu wanapenda kuonekana makamanda kwa kujipendekeza na mpaka number ya simu mkaweka ili makamanda wengine warushe m-pesa nini
 
Kwa ninavyoifahamu mwanza hakuna mvuta bangi yeyote anaweza kupita na bango la kejeli juu ya chadema na akaachwa, labda kama anataka kifo cha haraka, (untimely death)
 
Hahahahaah Shirima! Kada wa Kichaga

Hivi ccm mna akili nzuri kweli nyie,ninyi wenyewe mnapga kelele na ukabila halafu mnaongea nini hapo? Kama hamna hoja si bora mkae pembeni,siyo lazma uchangie upuuz huu kwa kutugawa kimakabila. Nenda tu Lumumba wanaweza kukufkiria hiyo b7 kuliko upumbafu huu.
 
Sema kijana wa kichaga shirima .......ili watu wajue why

Hivi tukiwambia ccm mnawagawa wananchi mnagoma,sasa mambo ya uchaga yametoka wapi? Embu jitambueni washenz nyie mnatupeleka pabaya na ukabila,udini na ukanda kama mnavyoueneza.
 
Hivi ccm mna akili nzuri kweli nyie,ninyi wenyewe mnapga kelele na ukabila halafu mnaongea nini hapo? Kama hamna hoja si bora mkae pembeni,siyo lazma uchangie upuuz huu kwa kutugawa kimakabila. Nenda tu Lumumba wanaweza kukufkiria hiyo b7 kuliko upumbafu huu.

Naomba ufafanuzi huyu kada Shirima ni chadema sebuleni au chadema chumbani????
 
Back
Top Bottom