Kamanda Francis
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 834
- 140
Kada huyo Maarufu wa CHADEMA Mitaa ya Sahara Jijini Mwanza aitwaye "GERALD SHIRIMA" 0754844811, Katika Mahojiano Kati yake na Mwandishi Wetu ameapa Kula Sahani moja na Wasaliti, Masalia au Mapandikizi ya Chadema Wanaowapotosha Watu Kwenye Vijiwe Vya Uji na Kahawa Jijini humo na Kutoa Matamko ya Kizushi Kwenye Vyombo vya Habari huku Wakijipachika Vyeo bandia ili Kuwachafua Viongozi wa Chama na Chama Kwa Ujumla! Bw. Shirima ameongeza Kwa Kusema "Kama Wahusika hao ni Wanaume... Warudie Upumbavu wao au Wajaribu Kuleta Vurugu na Ubebaji Wao wa Mabango Kwenye Mkutano wa Hadhara wa Kamanda Mbowe leo Jumapili 15/12/2013 Kuanzia Saa 8:00 Mchana, Utakaofanyika Katika Viwanja vya Shule ya Msingi Nyamalango Karibu na Chuo Kikuu Cha St. Augustine Saut-Malimbe hapa Mwanza.