Kada maarufu wa CCM Arusha ashikiliwa kwa amri ya RC Gambo

Huko tweeter kuna shutuma Gambo anamkingia kifua mtuhumiwa wa ubakaji, kisa tu mbakaji anamsaidia sana kuoata kura za ndani ya chama ika aoate nafasi ya kugombea ubunge!!??? Sa sijui ndo wanataka kumchafua tu huyu dogo Gambo au ni kweli?? Machalii ya Ara nnini?
 
Wewe kahangaike nna Mambo yenu ya huko Kenya, ya kwetu tuachie wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha una matatizo ya akili, mimi ni mtanzania pure, mama baba babu bibi wote watanzania, kuishi nje haimaanishi nipo Kenya au nimezaliwa Kenya. We unahisi tofauti na Tanzania nchi nyingine ni Kenya tu? Haha kilaza
 
Back
Top Bottom