Kada CHADEMA nusura ajiue kisa Nassari na Lijuakali kuteuliwa DC

Kada pata fundisho kwa wageni kuteuliwa!

Kama vipi hamia CHADEMA ili upate tena kuchaguliwa kuwa NAIBU WAZIRI

Aiseee una mawazo ya kijinga na kiujima ,yaani uko CCM kwa sababu ya ajira? No wonder hamtaki Katiba mpya.
Familia yako ya baadae na hasa wajukuu zako watakufa maskini kwa sababu babu yao ana mawazo tegemezi.VERY STUPID
Kuna kitu hukuelewa, sidhani kama kuna mahali nimesema mimi ni muajiriwa au nipo CCM.
 
Kada pata fundisho kwa wageni kuteuliwa!

Kama vipi hamia CHADEMA ili upate tena kuchaguliwa kuwa NAIBU WAZIRI

Aiseee una mawazo ya kijinga na kiujima ,yaani uko CCM kwa sababu ya ajira? No wonder hamtaki Katiba mpya.
Familia yako ya baadae na hasa wajukuu zako watakufa maskini kwa sababu babu yao ana mawazo tegemezi.VERY STUPID
Mkuu unapigania kitu usichokijua NIAMINI.
 
Back
Top Bottom