Kuna mshikaj kaniambia mke wake kajifungua ana nwezi tu lakini juzi kati alichepuka...anaomba kujua itaadhiri ukuaji wa mtoto au maana mchepuko wake unamsumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
hii itakuwa wireless effectNaomba nipewe jibu la ki science kuhusu uhusiano wa kutyomba nje na kumuathiri mtoto kiafya!
wanawake ndio wameleta hii theory kwa hofu ya kutelekezwa na watoto maana huduma kwa muda huwa zinasita za papuchi kwa mwanamke aliyejifungua,sasa huwa anajua utatoymba nje tu,wakaleta theory ya kwamba ukitomba nje utamuharibu mtoto ili tuogope!
Huyo mshkaji ni weweKuna mshikaj kaniambia mke wake kajifungua ana nwezi tu lakini juzi kati alichepuka...anaomba kujua itaadhiri ukuaji wa mtoto au maana mchepuko wake unamsumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio imani ni kweliI don't condone uchepukaji Ila imani zingine za kipuuuzi sana.