Kabwe wa CHADEMA awahutubia wana ccm amfagilia mbunge Filikunjombe wa Ludewa

Na mie nakubaliana na wewe....

325.jpg

Kuna wakati mwingine inabidi kutokurupuka tu mimi kuna mambo huwa nampinga zito lakini kuna mengi huwa na msifia kama hili.
 
Kadiri ya macho yangu ni kuwa watu wamevaa nguo zenye nembo za CCM. hapo inakuwaje? au Wanaludewa hawana mavazi mengine? kama siyo mkutano wa CCM wameendaje na mavazi ya CCM?

Acha siasa za kizamani hizo!.
 
Back
Top Bottom