Kabuye Phares Kashemeza mtu aliyemtetemesha Magufuli sana pitia picha

Mnamo mwaka 1985,Mwalimu wa kemia wa shule ya sekondari Sengerema JOHN POMBE MAGUFULI aligombea ubunge wa Jimbo la biharamulo akichuana na mkulima PHARES KABUYE (wote CCM). PHARES KABUYE alishinda na kutangazwa kuwa mbunge JOHN POMBE MAGUFULI akarudi Sengerema kuendelea na majukumu yake ya kila siku ya ualimu (alirudi kufundisha

Mnamo mwaka 1990 Mwalimu JOHN POMBE MAGUFULI alichuana Tena na mkulima PHARES KABUYE kwa mara ya pili. PHARES KABUYE alimshinda tena JOHN POMBE MAGUFULI akafanikiwa kukitetea kiti chake

Mnamo mwaka 1995,wakati wa uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi, Jimbo la biharamuro liligawanywa kwa kupatikana majimbo mawili (Biharamulo mashariki na Biharamulo magharibi. PHARE KABUYE aligombea ubunge wa Jimbo la biharamulo magharibi akashinda. JOHN POMBE MAGUFULI nae aligombea ubunge wa Jimbo la biharamulo mashariki na akashinda kwa mara ya kwanza baada ya mpinzani wake wa muda mrefu kwenda kugombea ktk Jimbo la biharamulo magharibi.
PHARES KABUYE alikwenda kuhamia T.L.P aligombea na kushinda kuwa mbunge pekee wa chama hicho kabla ya kufariki kwenye ajali ya Basi mwaka 2009,mkoani MOROGORO.

Baadae Jimbo la biharamulo mashariki lilibadilishwa jina na kuitwa JIMBO LA CHATO chini mheshimiwa Mwalimu JOHN POMBE MAGUFULI mbunge wa Jimbo Hilo.

View attachment 1107221

Britanicca
Jimbo lisingegawanywa yawezekana mkemia asingekua alipo sasaa
 
Kumbe ni mpambanaji toka siku nyingi. Mungu kama amekuchagua lazima utashinda tu. Huyooo sasa ni Rais wa JMT!!
 
Marehemu Mzee Kabuye alikuwa na sauti ya kisubi, akiongea lazima utajikuta unacheka.

Mle bungeni alikuwa akiwachekesha sana wabunge wenzake, Morogoro nao walikuwa na mbunge anaitwa Semindu Pawa, alikuwa full vituko, hachelewi kuchomekea anecdotes.
 
And what do you rate your performance
Tunaangalia majukumu aliyopewa na kwa kiasi gani kayatimiza kwa kuangalia performance indicators...

Vyote vinasoma vibaya,uchumi zero,demokrasia zero,usalama wa raia zero,etc....

Yeye binafsi kabla hajawa mwenye nchi ni failure tupu....

Alikua mwalimu wa Chemistry,hakuwahi kusoma kwa mtiririko sahihi au kuvushwa madarasa,alirudia rudia madarasa kurudi nyuma...

PhD yake ina walakini,proof zilishawekwa wazi......

Jimbo lake tangu akiwa mbunge na tangu linaitwa sijui Biharamulo,ni nonsense tupu kimaendeleo...

Hana intelligence sophistication,yeye ni hussle man with no efficiency of any kind at the output.

Maarifa ni madogo sana,hili Zitto na wengine walishalisema vizuri

Everything he's been touching since akiwa mbunge huko,hakuna kituuu.....hadi 'samaki wa magufuli' iliangukia pua...
 
Sipati picha ya hiyo mikong'oto ambayo hao wanafunzi wa hilo darasa waliyokuwa wanaipata. Ni lazima walikuwa wanaomba kumaliza shule haraka.
 
Back
Top Bottom