Kaburu Usije Kuiona Maiti Yangu-Julio

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
mg5.jpg
 
My Take

Hivi huyu jamaa anajua atakufaje?

inaweza kuwa kuliwa na mnyama, kuungua moto au kuzama majini asipatikane

Mkuu umenena, yeye hajui kuwa kuna vifo maiti haiwezi kuonekana mfano kuliwa na wanyama e.g. mnyama mwenye jina la timu yake, kuanguka kutoka angani kwa ajali ya ndege na kuteketea kabisa au hata ajali ya moto ndani ya nyumba n.k. Yeye anawaza vifo ambavyo lazima maiti ipelekwe mortuary ikisubiri kuzikwa. Shame to you Julio, kuna ugumu gani kumsamehe mtu aliyekukosea ili nawe usamehewe dhambi zako?
 
Julio aende tu na kibadeni wake. Mwehu kabisa. Ameigawa sana timu mpuuzi yule. Tatizo la chanongo kutopangwa ni kipi? Matokeo yake tuko nafasi ya 4.
Ngoja niende kinesi nikamwangalie kocha mpya
 
sawasawa Mr Analyst
Mkuu umenena, yeye hajui kuwa kuna vifo maiti haiwezi kuonekana mfano kuliwa na wanyama e.g. mnyama mwenye jina la timu yake, kuanguka kutoka angani kwa ajali ya ndege na kuteketea kabisa au hata ajali ya moto ndani ya nyumba n.k. Yeye anawaza vifo ambavyo lazima maiti ipelekwe mortuary ikisubiri kuzikwa. Shame to you Julio, kuna ugumu gani kumsamehe mtu aliyekukosea ili nawe usamehewe dhambi zako?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom