Anatapatapa tu........My Take
Hivi huyu jamaa anajua atakufaje?
inaweza kuwa kuliwa na mnyama, kuungua moto au kuzama majini asipatikane
JD yeye ndiye mwasisi wa huo usemi, hahitaji kuulipia kwa mwengineJD yeye alilipia kwa nani?
My Take
Hivi huyu jamaa anajua atakufaje?
inaweza kuwa kuliwa na mnyama, kuungua moto au kuzama majini asipatikane
Mkuu umenena, yeye hajui kuwa kuna vifo maiti haiwezi kuonekana mfano kuliwa na wanyama e.g. mnyama mwenye jina la timu yake, kuanguka kutoka angani kwa ajali ya ndege na kuteketea kabisa au hata ajali ya moto ndani ya nyumba n.k. Yeye anawaza vifo ambavyo lazima maiti ipelekwe mortuary ikisubiri kuzikwa. Shame to you Julio, kuna ugumu gani kumsamehe mtu aliyekukosea ili nawe usamehewe dhambi zako?
Julio ni mswahili per se