kaburi la wamisionari wa kijerumani huko Akheri-Meru

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
wanahistoria mnajua zaidi kuhusu hawa wamisionari

008.jpg
 
Usikute kuna kitu apo chini!
Ingekuwa dsm faster washalifukua ilo huchelewi kukuta kuna kg kadhaa za madini apo
 
Hapo ni meta chache kutoka nyumbani kwa J. S. Sumary (R.I.P). Walizikwa wamissionary wakwanza kufika Meru baada ya kuuwawa kikatili na wao kufungwa minyororo hadi makaburi nayo yakapigwa minyororo. Kuna wanaoamini kuwa vita visivyoisha baina ya jamii ya kimeru vinatokana na laana baada ya kuwaua kikatili wamissionary hao.
 
mkuu nasikia iliwahi kufanyika ibada maalumu ya usuluhishi
 
Back
Top Bottom