Kaburi la Mwai Kibaki na Mazishi yake kiujumla

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
2,510
4,224
Ninafuatilia maazishi ya hayati Kibaki nikiri tu kwamba pamoja na kuwa marehemu hana kauli na wala kuzikwa kwake sio swala la muhimu kwake kwa kuwa amekwisha kufariki lakini nimeshangazwa sana na utaratibu wa maazishi mpaka maziko yake.Maandalizi ni ya hovyo mno.

Mbaya zaidi kwenye kuzikwa ndio kabisa Kaburi halijaandaliwa wala wahusika hawako organized. Pale mtu anayekwenda kurusha udongo angeweza kudondokea ndani ya kaburi bahati mbaya.

Kuna askari mmoja alijikwaa akadondoka. Aise nimeshangaa sana kwanini Kenya haiwapi heshima viongozi wao.

Apumzike kwa Amani Hayati Kibaki.
 
Cha ajabu hakuna Mkenya anayejua au hata tu kujali Mkapa (RIP) au hata Nyerere(RIP) alizikwaje, hii inamaanisha nini ? Watanzania wako obsessed sana na Kenya, wanakaa majumbania kwao na Familia zao kuangalia TV za Kenya na kutafuta vitu vya kuponda lkn hakuna Mkenya anayekaa sebuleni na Familia yake kuangalia TV ya Tanzania, hii haikwambii kitu chochote ?
 
Nenda forums zao walifatilia misiba yote ya Mkapa na JPM
Cha ajabu hakuna Mkenya anayejua au hata tu kujali Mkapa (RIP) au hata Nyerere(RIP) alizikwaje, hii inamaanisha nini ? Watanzania wako obsessed sana na Kenya, wanakaa majumbania kwao na Familia zao kuangalia TV za Kenya na kutafuta vitu vya kuponda lkn hakuna Mkenya anayekaa sebuleni na Familia yake kuangalia TV ya Tanzania, hii haikwambii kitu chochote ?
 
Watz kwa kuponda kila kitu hamna zaidi yenu, kwenye sayari hii. Mlitaka azikwe kama mfalme alafu ndio iweje sasa? Hayo mambo ya kukuza miungu watu nchini Kenya yaliisha na dikteta Arap Moi. Tena mwendazake ndiye aliyetuondolea hiyo balaa. Baada ya kuapishwa kwake kama rais, alianza kwa kufutilia mbali ule utamaduni wa kuitwa mtukufu. Kuimbiwa nyimbo za sifa, kila barabara na shule mpya kupewa jina lake na picha yake kuchapishwa kwenye sarafu.

Tena akafunika zaidi alipofanikisha kwa nguvu nyingi, kuandikwa kwa katiba mpya. Ambayo ilimpunguzia madaraka rais kwa kiwango kikubwa na ikakubalia kuwajibishwa kwake na kupingwa kwake hadharani na mkenya yeyote yule, bila uoga wa kufuatwa au kudhulumiwa. Najua kwa uhakika kwamba kama angeshuhudia hafla hiyo, angependezwa sana na ilivyowashirikisha wakenya wa tabaka zote bila ubaguzi.
 
Cha ajabu hakuna Mkenya anayejua au hata tu kujali Mkapa (RIP) au hata Nyerere(RIP) alizikwaje, hii inamaanisha nini ? Watanzania wako obsessed sana na Kenya, wanakaa majumbania kwao na Familia zao kuangalia TV za Kenya na kutafuta vitu vya kuponda lkn hakuna Mkenya anayekaa sebuleni na Familia yake kuangalia TV ya Tanzania, hii haikwambii kitu chochote ?
Walivyo na kiherehere wale wasifuatilie? Labda useme South Sudan .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom