Kaburi la marehemu "MDINDILIUCHI SEFIMBO MIGAVILO" Iringa mjini

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Iringa ina raha yake bhana. Iringa mji mtamu sana.

Ukiwa Iringa mjn,bar inayoitwa MIAMI,ukikaaa kule juu makutini,ukitazama nje agharabu unaona kaburi la marehemu huyo tajwa hapo juu.

Na huwa watu wakishalewa (soda au vilevi) TU,huwa wanapenda sana kutazama hilo kaburi na wakishaliona tu,mioyo yao huswazika sana, wanapata amani, utii, uvumilivu na unyenyekevu mbele za Mungu.

Naomba tujadili yamkini.
 
Jsenyinah umekuja na kitu gani hapa kwenye jukwaaa LA wait kwenye akili zao,kabla hauja andika angalia kama utakacho kiandika kina faida kwa jamii na siyo brabraaaahhh
 
Jsenyinah, hapa jf no eneo LA kujadili mambo ya msingi na manufaa kwa ujumla wake, sasa wangapi wanaelewa/wananufaika au watajadili vipi UPUMBAVU ULIOANDIKA?Tumia Busara, tunajua na wewe upo !!!!
 
Back
Top Bottom