Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

245154501_909088446394865_5514189208103415052_n.jpg
Chuki mbaya sana, kuna wakati watu walisema vibaya kuwa kaburi limo ndani ya kibanda cha bati kwakuwa marehemu alichukiwa
 
Lazima nitakufa kwa mipango ya Mungu ila sio kama hilo li gaidi limarehemu lenu lilivotaka kumuua lisu .
Mungu akaamua kuliua lenyewe kwanza.
Namuomba Mwenyezi Mungu aendelee kulichoma moto huko jehanamu lilipo milele
Kifo hakiepukiki ni lazima tu kwa kila mtu utake usitake, ila kilema sio lazima kila mtu apate. Hivi unajua Lissu kapata ulemavu wa kudumu na mwisho wa siku Mungu atamuuwa pia Lissu kama alivyofanya Magufuli?
 
Huyo dhalimu amelipwa stahiki na matendo yake, hakika nchi imetulia sasa.
 
Huyo dhalimu amelipwa stahiki na matendo yake, hakika nchi imetulia sasa.
Lissu aliyetiwa kilema cha maisha amelipwa kwa kosa gani hadi akatiwa hicho kilema? Kifo wanakufa hadi watoto wadogo wasio na dhambi kwahiyo kama kifo ni adhabu basi adhabu hiyo hakuna wa kuikwepa.
 
Huyo aliyepiga magoti ni Nani?
Kupiga magoti isikisumbue kabisa kudhani anapigia magoti kaburi; wakatoliki wanaposali sala nyingi hutakiwa kupiga magoti. Ni sala chache sana za kikatoliki zisizohitaji mtu kupiga magoti. Nadhani huyo aliyepiga magoti ni mkatoliki na huenda anasali sala ya kuwaombea wafu.
 
Lissu aliyetiwa kilema cha maisha amelipwa kwa kosa gani hadi akatiwa hicho kilema? Kifo wanakufa hadi watoto wadogo wasio na dhambi kwahiyo kama kifo ni adhabu basi adhabu hiyo hakuna wa kuikwepa.
Huo ndio udhalimu wa mwendazake ambao kamwe hautasahaulika
 
Kaburi zuri kuliko ofisi za ufipa
MATAGA pori akili zenu zipo Mata -corn hapo limejengwa Kwa Kodi za watanzania acha Ujinga Hizo Hela hazijatolewa LUMUMBA pale ni Kodi za wananchi bila kujali chama chochote ndio zimasaidia kumsitiri Mwendazake rais kipenzi wa sisi wanyonge wa Nchi hii ilikua ni lazima asitiriwe vizuri sababu Alikua Rais wetu huyo
Daaaaa napata shida kweli kweli kua na makada zero brain Kama nyie!
 
Chuki mbaya sana, kuna wakati watu walisema vibaya kuwa kaburi limo ndani ya kibanda cha bati kwakuwa marehemu alichukiwa
yaani shukuru hata Hao waliodhihaki maana ndio waliofanya mchakato wa ujenzi kukamilika haraka siku zote katika maisha maneno ya kejeri ya wapinzani wako ukiyachukulia Kwa faida hutapata tabu sababu hayatakuua ila yatakufanya urekebishe unapokosea na kusonga mbele,
Kipimo Cha mtu mstaarabu ni kukubali kukosolewa iwe Kwa jema au baya!

Jifunze broo hutaumia Kwa maneno yetu ya kejeri humu jamvini wapinzani hua hwakosekani mahali popote hata huyo Mungu ana mpinzani wake mkongwe Shetani ila mpaka Leo hajamwangamiza hiyo inatupa SoMo kua upinzani na challenge zipo!
Cool down!
 
Kuna wale wapuuzi walosema eti kaburi lipo kwenye banda, niliwambia muwe wapole kuna mjengo una shushwa pale.

Sikutaka kuweka hapa picha nilitaka mzitafute wenyewe.

Sasa vipi hela ya serikali haijawauma? Rais jpm ana heshima zake duniani kote sema wajinga tu ndo wanapinga hadi leo.😏😏

Ujenzi unaendelea kwa nje kuna kitu kinatengenezwa sio kila mjinga mjinga anaingia hovyo. Itakuwa tiyari soon kabla ya kumaliza matanga mwakani.
Wampingao ni wajinga? Asipingwe kwanini? Wewe una uerevu gani? Maurembo yana faida gani?
 
Back
Top Bottom