Kaburi la Escrow litamuacha Magufuli salama?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,108
115,842
Watu waliowahi kufanya kazi BOT wanajua kuwa
kila ikifika kipindi cha kubadili Rais...kuna pesa zinapigwa

Wakati Mwinyi anaondoka mwaka 1995 BOT watu 'walipiga pesa'
zilikuwepo story za watu kuondoka na magazeti BOT wakaenda kukata wenyewe
majumbani mwao...

Mwaka 2005 ikaja EPA...upigaji mwingine style tu ndo tofauti

halafu ikaja ya mwaka 2015 Escrow....ni kama utaamaduni
watu wamejiwekea wa kupiga hela na kugawana Rais anapomaliza mda wake...

Magufuli alisema hatafukua makaburi ajabu hili kaburi kaanza kulifukua

Kwa jinsi ambavyo Escrow inamgusa karibu kila mtu ndani ya CCM
na hata Taasisi za dini.....swali la kujiuliza je Magufuli ataliweza hili kaburi?
au atatafuta njia fupi tu ya kulimaliza bila kugusa 'wenyewe'?
 
Zuzu Zee la lawama. Mangiiii
 
Ameshaingia katika mstari wa wasioguswa hivo hana wasiwasi kuanzia hili mpaka atakalo lifanya ataachwa pia apumzike....
 
Unaijua nguvu ya Rais wa Tanzania?

Katiba ya Tanzania kwenye Ibara ya 33(1-2) inasema hivi;
33.-(1) Kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano.
(2) Rais atakuwa Mkuu wa Nchi, Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.

If you know the enemy and know yourself, you need not fear the result of a hundred battles. If you know yourself but not the enemy, for every victory gained you will also suffer a defeat. If you know neither the enemy nor yourself, you will succumb in every battle-Sun Tzu, The art of war
 
Yumo mkuu huyo muingiza vidole puani na kushika raia mikono

Swissme
 
Escrow haikupigwa 2015, ilipigwa 2013/2014 hiyo 2015 umeweka ili kunogesha mada au ? JPM ana uhusiano gani na Escrow ? unafiki utawaua nyie wazee.
 
Mbuzi wa kafara wameshafahamika na hao ndo wameshakamatwa. Mahakama zetu hazipo huru kuunda tume ya kimahakama ya kuchunguza swala la Escrow.
Rugemalila na Seth ndo wameshakamatwa na kesi itaishia kwa hao.
Huyo JPM sio msafi kama watu wanadhania, toka aingie madarakani kuna mengi ameyafanya bila kuhusisha bunge.
Kuna ufisadi umejificha ndani yake.
 
1.6 bilion ni "tuhela twa mboga" aisee kila nikiwaza hili huwa naumia sana, Mungu usiwaache hawa waliotufikisha hapa, wewe ni mkali najua hujalala

unaenda mlimani city, inaishia kununua mayai na broccoli!!

ukisikia mtu anasema hivyo! ujue anadharau, hajui maisha ya mtanzania halisi na ni fisadi tu! huwezi uka struggle kihalali, ukapata hela kihalali ukamdharau mtu wa chini never!!
 
Watu waliowahi kufanya kazi BOT wanajua kuwa
kila ikifika kipindi cha kubadili Rais...kuna pesa zinapigwa

Wakati Mwinyi anaondoka mwaka 1995 BOT watu 'walipiga pesa'
zilikuwepo story za watu kuondoka na magazeti BOT wakaenda kukata wenyewe
majumbani mwao...

Mwaka 2005 ikaja EPA...upigaji mwingine style tu ndo tofauti

halafu ikaja ya mwaka 2015 Escrow....ni kama utaamaduni
watu wamejiwekea wa kupiga hela na kugawana Rais anapomaliza mda wake...

Magufuli alisema hatafukua makaburi ajabu hili kaburi kaanza kulifukua

Kwa jinsi ambavyo Escrow inamgusa karibu kila mtu ndani ya CCM
na hata Taasisi za dini.....swali la kujiuliza je Magufuli ataliweza hili kaburi?
au atatafuta njia fupi tu ya kulimaliza bila kugusa 'wenyewe'?
Sasa kama.ni hivyo mlikuwa mnapiga kelele za escrow za nini wakati serikali mnayoipigia kelele ishughulike issue hiyo ni CCM ambayo mnaituhumu? Hivi bongo zenu huwa zinatafakari kweli?
 
Back
Top Bottom