Kabul: Wanawake wazuiliwa kuingia Chuoni mpaka utaratibu wa kidini utakapowekwa

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Wanachuo Wanawake na Wahadhiri Wanawake wamekatazwa kuingia Chuo Kikuu cha Kabul Afghanistan, ni utekelezaji wa sheria za Kiislamu ndani ya Nchi hiyo yenye Watu milioni 32+, taarifa imesema marufuku hiyo ni mpaka watakapoweka utaratibu wa kuwaingiza Wanawake.

=========================

Women will no longer be allowed to attend classes or work at Kabul University "until an Islamic environment is created," the school's new Taliban-appointed chancellor announced Monday, in the latest move excluding Afghanistan's women from public life.

"As long as real Islamic environment is not provided for all, women will not be allowed to come to universities or work. Islam first," Mohammad Ashraf Ghairat said on his official Twitter account. Earlier on Monday, Ghairat tweeted in Pashto that the university was working on a plan to accommodate teaching female students but did not say when this plan would be completed by.

"Due to shortage of female lecturers, we are working on a plan for male lecturers to be able to teach female students from behind a curtain in the classroom. That way an Islamic environment would be created for the female students to get education," he wrote on Twitter.
 
😁😁😁

Act6cD.jpg
 
Tuwasaidie na tuwathamini watanzania wanaishi hapa Tanzania kwanza.
Hao wanaoishi Afghanistani lbd walipenda mazingira ya huko ndio wakaamua kuishi huko
 
Mi najiuliza wamarekani walikaa sikuzote huko kufanya nini? Mbona mambo yanarudi yalivyokuwa? Impact yao ni ipi hasa
 
Back
Top Bottom