Kabul Airport waambulia ndege na magari mabovu

Tatizo lako unawachukulia Taleban kama vilaza fulani hivi. Kwa taarifa yako tu neno Taleban maana yake ni wanafunzi na Taleban iliundwa na vijana wasomi wenye ari ya kujifunza ili kupambana pamoja na Mujahiddin wengine dhidi ya majeshi ya Urusi yaliyoivamia Afghanistan na kuikalia kwa miaka kumi kuanzia 1979 hadi 1989 kabla ya kushindwa vita na kuondoka kwa aibu. Hao jamaa wana elimu nyingi kuhusu silaha maana hata bunduki wanazotumia nyingi wanatengeneza wenyewe. Pia, wanapata msaada kutoka Iran, Russia, China, Qatar na mataifa mengine ya Kiarabu. Kwahiyo kukarabati hizo ndege ni rahisi tu wakitaka.
Eti rahis tuu wakitaka watu mnaongea kama mnakunya yaani. Manachukulia mambo kirahisi rahisi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu na kilaza ni ww na familia yako yote chokofresh ww unasema huwez kubshana na Mimi wakati Tyr umeshanijbu kama si kuwasha kundu Hilo ni nn huna majibu ya kile nilichoandka umekimbilia kutoa sifa zlizo ndani yako na Wana familia wako Yani kuwa wapumbavu na vilaza. Mwehu wewe
Huu uzi ni wa moto sana wazee wa surwale fupi wanambwela tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpumbavu na kilaza ni ww na familia yako yote chokofresh ww unasema huwez kubshana na Mimi wakati Tyr umeshanijbu kama si kuwasha kundu Hilo ni nn huna majibu ya kile nilichoandka umekimbilia kutoa sifa zlizo ndani yako na Wana familia wako Yani kuwa wapumbavu na vilaza. Mwehu wewe

Wewe ni Profesa wa vilaza na sifa mojawapo kuu ya Maprofesa wa vilaza ni kutukana baada ya kushindwa hoja. Kwahiyo endelea kutukana uwadhihirishie walimwengu uzamivu wako katika fani ya ukilaza.
 
View attachment 1926471
mzungu kavaa hijabu ndani ya Kabul.

yuko ugenini, shenz type.

sehemu kama hiyo mzungu hawezi kusema anataka kuwaletea ushoga. Au chanjo. Au hizi mbegu za GMO mnasema miche ya kisasa. Au alama za vidole. Kwa msiojua, kusajili kila Mtanzania kwa alama za vidole lilikuwa ni shinikizo la Mmarekani, na gharama zake.

hapa kwetu ukisema beberu hawezi kutulazimisha anayoyataka yeye, unaambiwa wewe huwezi kutengeneza hata kiberiti, lazima uwe kidampa kwa mzungu

Jangwa la Taliban country lile wana nini wale, wanatengeneza viberiti ?

Na si Afghan tu, Uarabuni kote Mzungu akitua airport heshima mbele! Mtu anaevua viatu mlangoni kwako, au kuvua kofia, au kupandisha suruali ya kata K, ina maana anatangaza toka mlangoni atasalimu kila amri na mpango wa maisha alioukuta mule ndani mwako.

Simply because Mwarabu alishamwambia ee bana eeh, hapa kwetu sisi hatutaki ungese. Mwafrika yeye bado kikaragosi, msalie mtume.
Una mume mwarabu ?
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Yaani wanawachukia kisha wanategemea wawaachie multimillion dollar equipment, haaa haaa umaskini mbaya.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Back
Top Bottom