Kabudi ni wakati wa kunyamaza; karma ikikunyamazisha familia yako itafedheheka sana

Hayo ni matokeo ya ujamaa. Ujamaa umemgawanya mtu mmoja ktk pande mbili A. Akiwa mtaani anahangaika kupata mkate wa siku (huwa na akili timamu; anajua mema na mabaya, na huchukua tahadhari). B. Akiwa na mfalme (hapa huishi kadiri ya mfalme; akili amebinafsisha kwa masharti nafuu kwa mfalme n.k na hata waliomfahamu hapo awali hushangaa.
Kitendo cha Profesa kukiita, hadharani mbele ya wanahabari, chuo kilichonfunza, kumwajiri na kumlea mpaka kupata teuzi kuwa ni jalala na teuzi ndio iliyomwokoa ni fedheha sana. Ingekuwa seneti ipo sawia, hatua stahiki zingechuliwa dhidi yake.
Kwa jirani - Kenya-, raisi na makamu wake wanatofautiana hadharani, bado wapinzani rasmi; ili hali hatari kwa nchi kama ukame, ugaidi, n.k na nchi inasonga, tena inaongoza ukanda mzima.
 
Uhuru wa maoni, tutajuaje kama wanaodai katiba sasa, baadae watabadilika.

Tusilaumu sana, Huwezi huenda wakati huo ndio alikuwa na njaa akaona akubali kutafuta katiba na sasa njaa imeisha, and Vice Versa.
 
Back
Top Bottom