cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,317
- 7,509
Akihutubia baraza la wafanyakazi wa wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki ,waziri Kabudi kwa sasa serikali haina mpango wa kuongeza mshahara kwa mwaka mmoja na pia posho za muda wa ziada zimeondolewa hivyo wafanyakazi hao wafunge mikanda
Amesema kwa sasa serikali imeelekeza kutafuta fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo ambayo inafahamika kwa sasa
Amesema serikali inaangalia maendeleo ya watu kwa miaka 100 ijayo hivyo hawawezi kujikita kwenye posho na mishahara ya wafanyakazi
My take kwa kauli hii ya waziri Kabudi ,nyongeza ya mishahara (Annual increments) na posho mtazisikilizia kwa majirani
Wafanyakazi Tanzania acheni uvivu wa kudai maslahi yenu,miaka kumi mpo pale pale.
Na hapa kuna wafanyakazi utawakuta wakimsifia jiwe hatari
Poleni again wafanyakazi Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app