Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,177
- 7,699
Mzee mikataba na sheria mpya za madini serikali yenyewe kipind cha hayati walibadili sheria kwa matakwa ya wawekezaji, makinikia yanaendelea kwenda nje kama kawaida na mamb ya smelter yakaishia pale. Barick wakaambiwa kujenga smelter hapa bongo ni uamuzi wao wajenge au wasijenge, na kuhusu miamala ya kibenk ilikua ufanyike hapa lkn wakabadili sheria ambayo wao serikali waliiweka na baada ya hapo mialama ikawa inafanyika Bank za nje.Tunarud misiri mdogo mdogo, baada ya Musa kufariki