Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.

Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia maliasili yetu kwa kusafirisha huo mchanga nje ya nchi.

Waziri Kabudi ndio alikuwa chief negotiator wetu kwenye huo mgogoro na hiyo kampuni.

Ningemuomba atuwekee wazi mambo yafuatayo:

1. Sababu zilizofanya kubadili msimamo hata kuruhusu kampuni iendelee kusafirisha huo mchanga ili hali tuliaminishwa kuwa wangejenga SMELTER hapa nchini.

2. Tuliaminishwa kuwa tulikuwa tunaidai kampuni ya Barrick us$ 191 billion; mpaka Rais akaahidi kuwa baada ya malipo kila mmoja wetu angepata NOAH moja, halafu mkabadilika na kukubali kulipwa us$300 mill. kama kishika uchumba nazo zingelipwa kidogo kidogo!! Kitu gani kiliwasibu?

3. Kwanini mlikubali kuwa migogoro yote na Barrick iamuliwe nje ya nchi na sio Tanzania?
Na atuambie zile mauchafu alizobeba kutoka Madagascar zipo wapi na alitumia shilingi ngapi kuzileta maana walitupiga sana.
 
Mzee baba(JPM) alisema ndani ya mchanga huo kuna madini ya aina nyingi tu.
 
Na atuambie zile mauchafu alizobeba kutoka Madagascar zipo wapi na alitumia shilingi ngapi kuzileta maana walitupiga sana.

Hata kwenye mkataba na Barrick, wamepiga sana Kabudi na Mwendazake kutoka madai ya us$ 191 billion ambazo mchumi Osorro aliwapigia hesabu mpaka kukubali Barrick walipe us$300 million tena kwa malipo ya installment!!! Kishawishi gani kiliwafanya wakubali ufisadi huo?
 
Back
Top Bottom