Huwezi vuruga mifumo ya asili ya jamii ukabaki salama. Kilangila.Kumbe zile korosho hazijauzwa mpaka Sasa mmm maajabu na mbwembwe zote zile. Mi ninhetangaza tenda niwauzie tena hata kagomba jamani
Huwezi vuruga mifumo ya asili ya jamii ukabaki salama. Kilangila.Kumbe zile korosho hazijauzwa mpaka Sasa mmm maajabu na mbwembwe zote zile. Mi ninhetangaza tenda niwauzie tena hata kagomba jamani
Kabudi wa katiba mpya siyo huyu wa sasa. Na kama ni yeye motoni atawekwa karibu kabisa na chanzo cha moto wenyeweUko sahihi maana amesahau yote aliyokuwa anaongea wakati anapigania katiba mpya. Kilangila.
Usishangae kuona kwamba uchaguzi ujao Jiwe akapata kura nyingi kutoka huko kuliko maeneo mengine ya nchi. Kilangila.Kabisa Mkuu wameshakuwa wajanja wa kutuzuga na lugha zao tamu tamu huku wakikwepa uwajibikaji wao kwa miaka chungu nzima sasa. Hizi korosho hadi leo hii hazijauzwa nani atawajibika?
Weka namba yako ya simu na email, kuna nafasi ya uRC huko Katavi. Kilangila.Namshukuru Mungu sikupoteza kura yangu kumpigia JIWE
Hata wao wanajuta. Kilangila.Katika ule mchakato sikutegemea kabisa apite. Na wengi tulijua jamaa ni bomu sana, lakini haya maovu yake mengine na udikteta hatukuvijua kabisa. Kikwete na Mkapa wametuletea balaa kubwa sana nchini.
Vimeo kwa vimeo hawadhuriani. Kilangila.Mpaka Jiwe aje kustuka kwamba Kabudi ni kimeo basi itakuwa too late
Wako wengi. Mwakyembe huyu ni yule yule wa Richmond Scandal? Kilangila.Kabudi wa katiba mpya siyo huyu wa sasa. Na kama ni yeye motoni ataweka karibu kabisa na chanzo cha moto wenyewe
Jina lako tu linakutanabaisha ulivyo mkuuWapinzani wadandia hoja
Angalia export na exchange rate zao kisha tazama GDPTunaona jinsi ambavyo wenzetu wa Kenya wanavyo songa mbele kwa spidi ya Jet. Kilangila.
Tanzania needs either national leadership overhaul/transformation or political and economic revolution through the ballot.Najiuliza kila siku kwani miaka yote hiyo nchi hii ilikuwa chini ya utawala was chama gani? Kilangila.
Katika ule mchakato sikutegemea kabisa apite. Na wengi tulijua jamaa ni bomu sana, lakini haya maovu yake mengine na udikteta hatukuvijua kabisa. Kikwete na Mkapa wametuletea balaa kubwa sana nchini.
Imekuuma jiwe kuumbuka kwa ukurupukaji wake?Wapinzani wadandia hoja
Acheni kuwasema viongozi wetu wastaafu, aliopiga kura wakati wa uchaguzi ni “WANANCHI” = “REGISTERED VOTERS” na aliyependekeza ni Mhe Lowassa kwa kuelekeza wajumbe waliokuwa wanamuunga mkono! Chaguo la Wapiga kura usisingizie Mstaafu Rais Mkapa na mstaafu Rais Kikwete na kama hangeshinda Mhe Magufuli nchi ungekuta ushauzwa na Zanzibar kule na Tanganyika kule kama CUF wangalishika nchi(Soma katiba ya CUF ya 2000 mapinduzi ya 1964 haitambui.