Kabrasha chumba cha kunyongea

SEHEMU YA PILI
Hii inahusika na vituko na simulizi za wanyongwaji
Vituko, waoga, wakorofi wapo popote duniani na simulizi zenye simanzi sana pia hazikosekani

Mfungwa mmoja huyu alikuwa gereza la Isanga, huyu jamaa naweza kuamini kwa hakika hakuua bali figisu ana ushahidi vilimfunga
Huyu jamaa aligoma kabisa kula mpaka alipoitiwa rafiki yake mmoja askari ndio akakubali kula wali kuku... Chakula hiki kilitoka Dodoma hotel na aliletewa vipapatio vya kutosha... Hata neno lake la mwisho alisema ananyongwa bila hatia
Mwingine alikuwa ni binti mmoja huyu aliuwa mwanae... Kama kuna msamaha baada ya kuhukumiwa na hati kusainiwa huyu binti angekuwa mmojawapo.... Alilia sana na kujutia sana na kuomba misamaha yote lakini haikusaidia.. Alikula kitanzi
Wengine. Walikuwa wana fulani hivi kesi ya robbery na mauaji.. Hawa walidai chai ya maziwa mikate yenye siagi na mayai ya kukaanga wapewe alfajiri... Walitimiziwa... Walikufa wakiwa wameshiba kabisa
Mmasai mmoja baada ya kugoma siku nzima kuagiza apendacho usiku alikuja kuagiza damu mbichi ya beberu... Jamaa walimletea lakini walimmaind sana.....
Mwingine alikuwa ni mzee mmoja alikuwa mchawi sana.. Huyu kitanzi kilidunda na alikaa na kitanzi dakika 45 nzima ndio akakata roho... Yule mnyongaji ilibidi amkanyage mgongoni mara 45 (anajua mwenyewe kwanini alifanya hivyo......
Makala ni ndefu bado

Sijaelewa Kwani Tanzania ishawahi Kunyongaa waliohukumiwa hii adhabu?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ile ya jamaa alihukumiwa kifo kwakupigwa risasi, siku ya tukio akawekwa sawa, watu wakajikoki, wakamimina ma risasi, ile wamemaliza wanaenda kuuangalia mwili wakakuta hata hata chembe ya jeraha la risasi ila amekufa, ikaja kugundulika alikufa kwa uoga, ilikua miaka ya zamani sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Woga gani akati risasi zilimpata??? Kwamba alidondoka kabla risasi kumpiga au??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

50 Reactions
Reply
Back
Top Bottom