Kabrasha chumba cha kunyongea

Aisee! kuna ile ya kuzamishwa kwenye maji kwa kutumia winchi.
Wafungwa wanaingizwa kwenye banda la nondo tupu, wanasimama humo ndani. Hicho kibanda kinanyanyuliwa na winchi refu na kuelekezwa majini, wanazamishwa taratibu sana hadi wanazama kabisa halafu wanasubiri hadi wote wamekufa ndio wanaibua na kutoa miili.
Inatisha sana, maji yanapofika usawa wa shingo, watu wanashika nondo kupanda juu, lakini haisaidii maana winchi linazamisha kibanda chote!
Mambo ya ISIS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya utafiti kisha uandike, hakuna uafadhali wa sindano ya Sumu, ndo maana wafungwa wameanza kukataa wamesema ni mateso makubwa mno mtu mpaka afe, kuuliwa ni kuuliwa aisee hamna unafuu wowote maana vifo vyote ni maumivu makali yanatofautiana muda tu
Hao wafungwa wanaokataa wamejuaje maumivu hayo

Ndundame
 
Mtu yoyote anaetoka nyumbani kwake na kwenda kumtoa binadamu mwenzake uhai tayari na yeye anakua amejinyima haki yake ya msingi ya kuishi hpa Duniani______Margaret Thatcher former British prime minister
Unaishi kwa akili ya huyo mama wa kizungu?

Ndundame
 
Kuna ile ya jamaa alihukumiwa kifo kwakupigwa risasi, siku ya tukio akawekwa sawa, watu wakajikoki, wakamimina ma risasi, ile wamemaliza wanaenda kuuangalia mwili wakakuta hata hata chembe ya jeraha la risasi ila amekufa, ikaja kugundulika alikufa kwa uoga, ilikua miaka ya zamani sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jr
 
Aisee! kuna ile ya kuzamishwa kwenye maji kwa kutumia winchi.
Wafungwa wanaingizwa kwenye banda la nondo tupu, wanasimama humo ndani. Hicho kibanda kinanyanyuliwa na winchi refu na kuelekezwa majini, wanazamishwa taratibu sana hadi wanazama kabisa halafu wanasubiri hadi wote wamekufa ndio wanaibua na kutoa miili.
Inatisha sana, maji yanapofika usawa wa shingo, watu wanashika nondo kupanda juu, lakini haisaidii maana winchi linazamisha kibanda chote!
Nimesisimka ghafla...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom