Kabombadier ketu hadi kafike Bongo katakwepa viwanja vingi sana kutua

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Kwasababu ya kukwepa kuzuiwa kwa ajili ya madeni lukuki yaliyosababishwa kizembe na kifisadi, ka mwewe ketu katachagua sana viwanja vya kutua hadi kafike Bongo.

Nadhani hakatatua kabisa kwenye nchi za Commonwealth. Ndege zetu sasa hivi ni kama digidigi. So sad really!

Lissu bwana akujalie uvumilivu na afya njema.

magu2016
 
Kumekucha nenda kanie.
Screenshot_20191126-232109.jpeg
 
Hahahaha kama digidigi?!

Back
Top Bottom