Uchaguzi 2020 Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa baadae mwaka huu, Mungu atatufuta machozi wapinzani kwa kuangusha mbuyu

Ukristo hauamini maono( ndoto za kibinadamu) ambazo kiuhalisia ni za kulazimisha hivyo Mungu alishakataza hayo japo yanaendelea kushinikizwa na walokole lkn hakipo na ndiyo maana Magu anadunda
Mungu ni upendo, mkarimu, si mwepesi wa hasira na mwingi wa Rehema
Si mungu anayewakirimia waovu? Ndiye ili wapate kutambua nguvu yake lkn wanageuka na kujiona ni wao rejea maazimio ya rais na spika
Utabiri ni uongo na ushetani na si Mungu
Mungu anaruhusu mabaya na mazuri ili atufundishe neno lake na Nguvu yake>>> tukubali fundisho la Mungu huku tukiomba huruma kwa Tz yetu na Mungu ndiye ataamua kama ataibadili au lah!
Tupange huku tukimuomba Mungu aibadili Tz
Nani alijua kanisa katoliki la mwanzo lingepata kuungwa mkono na mfalme wa rumi na kulifanya kanisa kuwa hivi lilivyo leo licha ya wafalme wa rumi kuwatesa na kuwaua wakatoliki lkn hawakupoteza imani na maombi ili warumi wabadilike, nasi tuendelee kupanda mbegu ya kiimani na tumaini la mabadiliko Mungu atakapoamua hivyo tuzidishe kutawanya mbegu ya upendo, haki, maadili na huruma
 
Nyinyi sio binadamu bali binadamu tu wenye umbo la bindamu ila nyinyi ni kitu tofauti na mwanadamu.Mmekuwa na roho za kishetani kutetea uovu kwa masilahi yenu ya kisiasa ila mjue iko siku na nyinyi mtaonja haya machungu wanayopitia wenzenu.
Huna haki ya kuhukumu bali Mungu
Kwa nn hauoni Mungu katika uamuz wa P?!!!
Mungu ni upendo ebu mpende jirani basi kama unvyopenda haki ya kimungu na huruma yake

P namtazama kama mtu mwenye wema na ukweli na mpenda haki japo kosa lake ni kuwa firm n impartil ndiyo maana mnamchukia lkn ukweli n kuwa sote tulipaswa kuwa hivyo ili tuuone wema na uovu uko wapi na tusimame na haki na si uovu
Kumpenda rais si ombi na sharti la kimungu hivyo kupenda ukweli wa Mungu na kuukana udanganyifu wa kibinadamu kwa picha ya deep state
Go paschal but be enlighter and ethusiast
 
Mkuu Bursting, hili nalijua, tangu mfalme Nabukadreza, King David alichomfanya Uriah na kumtwaa mkewe Bathsheba na kumzalisha, Suleiman, na Mfalme Suleiman licha ya kupewa busara kuliko wote na utajiri kuliko wote, alipomuoa Queen of Sheba akabadili mawazo, najua Mungu alimfanya nini Suleimani.

Lakini kwa Tanzania, the Nabii wetu is still on track.
P
We know the existance of deception from deep state, uovu wa serikali, polisi, dhuluma ya rais kule bukoba, kudharau mioyo ya wote
Rejea masomo ya dominika ya juzi hasa la kwanza( utatu mtakatifu) halafu husijibu
 
Ni kweli maana wameanza kuvunjika miguu kwa kuanguka kwenye ngazi.
 
Eeenh, mkuu Salary, haya machozi..., futa machozi mkuu komaza uso na uma meno; Tazama mbele na uwe tayari kuendeleza mapambano.

Hiki ulichoweka hapa hakina tofauti na yale maombi ya siku tatu mfululizo.
Ambayo nyie mliyakataa.
 
We know the existance of deception from deep state, uovu wa serikali, polisi, dhuluma ya rais kule bukoba, kudharau mioyo ya wote
Rejea masomo ya dominika ya juzi hasa la kwanza( utatu mtakatifu) halafu husijibu

But all in all only God knows if he still on track lkn hata akitoka si lazima amtoe , Mungu anataka tuelewe achotufundisha ktk utawala husika
 
Lema aliwahi kupata maono kama haya na akaita waandishi wa habari akisema JPM atakufa kabla 2020 lakini uzuri ni kwamba maono ya kishetani huwa ni ngumu sana kutimia.

Leo na wewe pia umekuja na maono mengine ambayo nina hakika ni ya kishetani pia.
Muda ni mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
Wanapambana na aliyeishinda corona kwa jina la Mungu wakati wao wamejifungia vyumbani.
 
Maandiko matakatifu yanasema "anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga" na Waswahili wanasema "Mungu si Athumani".Pia kuna msemo:" Mungu hadhihakiwi."

Kwa kuzingatia misemo hiyo na kwa kuzingatia machozi,machungu na kilio cha watu wake,Mungu atajibu kadri atavyyona inafaa na anaweza kujibu kwa kuangusha "mbuyu" na kuwafuta machozi wale wote ambao leo hii ni kama watoto wa kambo katika familia yenye wazazi au mzazi katili.

Waacheni waendelee kubeza na kukejeli wanaoteseka na maumivu kanakwamba wao waliongea na Mungu ila ipo siku Mungu atawajibu kwa vitendo tena kabla ya uchaguzi mkuu.

Hata ikitokea uchaguzi unapita pasipo mbuyu kuangushwa,anguko halikwepeki kwani malipo ni hapa hapa duniani.

Muda utasema.
Naiwe hivyo, mapenzi ya Bwana yatimizwe!
 
Maandiko matakatifu yanasema "anaeua kwa upanga,atakufa kwa upanga" na Waswahili wanasema "Mungu si Athumani".Pia kuna msemo:" Mungu hadhihakiwi."

Kwa kuzingatia misemo hiyo na kwa kuzingatia machozi,machungu na kilio cha watu wake,Mungu atajibu kadri atavyyona inafaa na anaweza kujibu kwa kuangusha "mbuyu" na kuwafuta machozi wale wote ambao leo hii ni kama watoto wa kambo katika familia yenye wazazi au mzazi katili.

Waacheni waendelee kubeza na kukejeli wanaoteseka na maumivu kanakwamba wao waliongea na Mungu ila ipo siku Mungu atawajibu kwa vitendo tena probably kabla ya uchaguzi mkuu.

Hata ikitokea uchaguzi unapita pasipo mbuyu kuangushwa,anguko halikwepeki kwani malipo ni hapa hapa duniani.

Muda utasema.
Hata Mimi naamini COVID 19 itafanya yake kabla ya October 25,2020
 
Lema aliwahi kupata maono kama haya na akaita waandishi wa habari akisema JPM atakufa kabla 2020 lakini uzuri ni kwamba maono ya kishetani huwa ni ngumu sana kutimia.

Leo na wewe pia umekuja na maono mengine ambayo nina hakika ni ya kishetani pia.
Muda ni mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
Mkuu Covid 19 haiwezi mwacha magu salama,maker my word, atajufukiza sana,atakunywa mitishamba ya Madagascar sana lakini lazima aondoke before general election
 
Mkuu Covid 19 haiwezi mwacha magu salama,maker my word, atajufukiza sana,atakunywa mitishamba ya Madagascar sana lakini lazima aondoke before general election
Kanuni ilivyo ni kwamba kila anaye muombea mwenzie kifo au kushangilia huwa anatangulia yeye mfano kuna mtu alishangilia zito apigwe risasi matokeo yake akatangulia yeye, sasa na wewe angalia tena chunga sana usije ukaondoka wewe kabla ya hiyo election unayo isema.
 
Sio kweli,waangalie pia Mugabe,Kenyata,Putin Kagame na Museveni
Madicteta Wote Uanguka Vibaya Sana. Angalia Nkurunzinza At 55yrs Kadondoka Bibi Yangu Yupo Na 93yrs Lakini Ukimuona Kajaa Tabasamu.Ni Swala La Muda Tu
 
Back
Top Bottom