Acha tu ndg yangu.Wife wako ana elimu kiasi gani, kabila gani, umri gani, na anafanya shughuli gani? 'Nimevutiwa' sana na kiwango cha wivu alicho nacho mke wako ndio maana nimependa kujua zaidi.
HahahaaaaaaaaPOLE kwa USUMBUFU ulio upata NAKUSHAURI akipona POZA machungu kwa usumbufu aliokuletea wa kutafuta password.I mean KULA vitu,au kitu si mnato?
Hongera sana kwa mke wako kukusihi kumsaidia huyo dada...inaonekana ulikua unataka kumwacha bila msaada..siku nyingine uwe na huruma.
Nafikiri hapo hata wewe na mkeo mmejifunza coz hata simu zenu zina password.
Hii Kali aiseesmart angu nisipoweka password inajipiga afu inachagua watu nlionuniana nao au sitaki kabisa mawasiliano nao. ila funzo
Hii Kali aisee
Hahahah umenikumbusha jamaa mmoja Mbeya yeye akifika home tu hapatikani kaweka call baring, halafu Whatsapp kaunga kwenye laptop simu iko chaji. Wife wake anatulia akijua kakomesha kuchatAnt-theft inatosha hskuna haja ya password za kijinga namna hiyo.
Naweka password tu kweny text maana wife anatabia ya ajabu kuwatext watu asiowajua na kuwapiga mkwara kumbe ni watu wa muhimu kwangu ila tatizo ni wivu wake.
Nimekubalihahaha
Wabishi mko wengi kweliPassword ni muhimu..!! Kama aliandikiwa kufa angekufaa tu wala sio sbb ya password na kama amepona, kapona tu, wala password haihusiki..!!
Almost kila kifaa hasa cha electronic kina password siku hizi..!! so password ni muhimu sana..!! KIFO nikitu kingine kabisa..!! ingekuwa siku yake imefika, wala hata ww usingemuona, ANGEKUFA hapo hapo...!!
Password ni lazima siku hizi..!!