Kabla ya kuweka password kwenye sim fikiri kwanza; Yaliyomkuta huyu dada yaweza kuwa matatizo

Hapo msiangalie upande mmoja tu, wa hasara ya kuweka password, pia kunafaida zake, kuna watu inawasaidia. Mfano kwa yule anaechaji simu yake kwenye vibanda, ukiacha bila password, simu itapekuliwa huenda hupelekea kufutwa baadhi ya kumbukumbu zako muhimu, halafuni nimeona baadhi ya watu akiomba kuona simu yako anaingia ndini na kuipekua.
 
Phone lock
Contact lock
Sms lock
Facebook lock
Jamiiforums lock
Whatsapp lock
Gallery lock
PIN Lock
Pattern Lock
Call log lock
Instagram Lock
Twitter Lock
Google translate lock
Play Store lock
Torch lock
Setting lock
Gmail/Email lock
Camera Lock
HII INA ISHARA TOSHA DUNIA IMEPOTEZA KABISA UAMINIFU....TABU YOTE HII YA NINI..?
 
Ant-theft inatosha hskuna haja ya password za kijinga namna hiyo.

Naweka password tu kweny text maana wife anatabia ya ajabu kuwatext watu asiowajua na kuwapiga mkwara kumbe ni watu wa muhimu kwangu ila tatizo ni wivu wake.
Yaani huyo kama mke wangu?
 
Ant-theft inatosha hskuna haja ya password za kijinga namna hiyo.

Naweka password tu kweny text maana wife anatabia ya ajabu kuwatext watu asiowajua na kuwapiga mkwara kumbe ni watu wa muhimu kwangu ila tatizo ni wivu wake.
Wife wako ana elimu kiasi gani, kabila gani, umri gani, na anafanya shughuli gani? 'Nimevutiwa' sana na kiwango cha wivu alicho nacho mke wako ndio maana nimependa kujua zaidi.
 
Siku ya Ijumaa tar 1 july 2016 nikiwa narudi nyumbani Mafinga muda wa saa 3 usiku Mara gafla pikipiki iliyokuwa mbele yetu ikaongonga Dada aliyekuwa anavuka barabara! Baada ya ajali ile dereva wa pikipiki akaamka akawasha pikipiki na kukimbia!!!! wife akanisihi sana tumsaidie nikasimamisha gari,kwa kweli aliumia sana kiasi cha kuzimia.

kwenye mfuko wa yule Dada kulikuwa na elf 48 pamoja na cm ya Huawei ! cha ajabu sim ilikuwa na PASSWORD tukashindwa kupata namba ya ndugu yake! Hata kupokea cm lazima uweke PASSWORD nikaona huu ni ujinga!Nikatoa line na kuweka kwenye cm nyingine pia INA PIN CODE.
Tukampekeka kituo cha polisi akapewa PF 3! na kupelekwa hospitalil.

Je, kuna uelewa wa kutosha kuhusu faida na madhara ya PASSWORD kwenye cm?
Labda hizo simu zenu uchwara. Lakini mm s5 ina password na kuna option ya kuchagua namba kadhaa ambazo unaweza kupiga bila kufungua password. Password ni special kwaajri ya mambo ya kazi ndani ya simu endapo utaipoteza
 
Phone lock
Contact lock
Sms lock
Facebook lock
Jamiiforums lock
Whatsapp lock
Gallery lock
PIN Lock
Pattern Lock
Call log lock
Instagram Lock
Twitter Lock
Google translate lock
Pray Store lock
Torch lock
Setting lock
Gmail/Email lock
Camera Lock
HII INA ISHARA TOSHA DUNIA IMEPOTEZA KABISA UAMINIFU....TABU YOTE HII YA NINI..?
Duh. Hapo nimevutiwa na hiyo 'PRAY' store:D:D:D
 
Na wewe si wakushukuru hadi shemu akwambie ndo umsaidie, big up shemeji
 
Siku ya Ijumaa tar 1 july 2016 nikiwa narudi nyumbani Mafinga muda wa saa 3 usiku Mara gafla pikipiki iliyokuwa mbele yetu ikaongonga Dada aliyekuwa anavuka barabara! Baada ya ajali ile dereva wa pikipiki akaamka akawasha pikipiki na kukimbia!!!! wife akanisihi sana tumsaidie nikasimamisha gari,kwa kweli aliumia sana kiasi cha kuzimia.

kwenye mfuko wa yule Dada kulikuwa na elf 48 pamoja na cm ya Huawei ! cha ajabu sim ilikuwa na PASSWORD tukashindwa kupata namba ya ndugu yake! Hata kupokea cm lazima uweke PASSWORD nikaona huu ni ujinga!Nikatoa line na kuweka kwenye cm nyingine pia INA PIN CODE.
Tukampekeka kituo cha polisi akapewa PF 3! na kupelekwa hospitalil.

Je, kuna uelewa wa kutosha kuhusu faida na madhara ya PASSWORD kwenye cm?
Umuhimuu upooo...wanaumee wengi mmekuwawezi wapesa zakezenu KWENYE simu NA bank acc NA sasa hip ndio soln chao
 
Ahaarg!? maswali gani banaa je kuna umuhimu wa kuweka makomeo kwenye nymba zetu je kuficha ufunguo wa nyumba yako? mwee!
 
Ahaarg!? maswali gani banaa je kuna umuhimu wa kuweka makomeo kwenye nymba zetu je kuficha ufunguo wa nyumba yako? mwee!
 
Back
Top Bottom