Kabla ya kutoka CCM jiulize mara mbili; Horace Kolimba, Gen. Kombe, Balali, Sokoine wapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabla ya kutoka CCM jiulize mara mbili; Horace Kolimba, Gen. Kombe, Balali, Sokoine wapo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Nov 15, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,128
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  Hili ni wazo la bure kwa wale waliobahatika kupata neema ya uongozi CCM Hasa za juu...kuna wenzetu wengi wamepotea katika mazingira ya kutatanisha na mpaaka leo hii si serikali wala nani anaewaongelea..kwa upande mwingine ningeweza kusema wamechukuliwa na misukule....kuna viongozi waliokuwa waadilifu wakataka kuhama CCM...wengine iliamuliwa waadhibiwe kule kule dodoma kabla ya kurudi kwao kama marehemu kolimba...yupo wapi sokoine maskin baba wa watu aliepata ajali usalama wakammaliza kwa kudai kafa ajalini...wapi balali alietaka kutoa siri za EPA dodoma akaishia kuletwa na ndege ya kukodi hapo airport kabla ya kwenda marekani na kuambiwa ur too late israel on the way we cant do anything....swala la uongozi CCM si kitu cha kuchezea wanandugu kama mna ndugu zenu wapeni tahadhari..wengi wanaweza mwona spika sitaa ni kichaa lakini anajua anachofanya anajuwa familia yake iko wangapi na anajua kumwondoa aichukui muda na anajua familia itatesekaje akiondoka...swala la uongozi wa ccm ni wewe na maisha yako na kama unahama vizuri uondoke kwa amani.....Ndio maana mnakumbuka ndugu yangu deo swanzugwako alipokimbia CCM .babu wassira stephen alipokimbia CCM wanajua kilichowafata na leo kuwa mawaziri na wengine wabunge........if u cant'm join'm.......hongera maalim seif.hamad

  SWALI NAULIZA

  HORACE KOLIMBA

  BALALI

  SOKOINE

  WALIUUWAWA NA NANI??
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,128
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  leo hii nimepata ujumbe,,,,kwa nini viongozi wa serikali ya CCM wanaogopa kwenda kuabudu kanisa linalotoa misukule""""""""""""NYUMBA YA MUNGU """wanaogopa kuulizwa live na hao waliowachukua
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Pdidy hivi una habari kuwa hata Seif Sharriff Hamad,Augustino Lyatonga Mrema,Mabere Marando, Edwin Mtei na wengine wengi ,wote wlikuwa ccm katika ngazi za juu?
   
 4. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280

  Too imaginative!!! anyway, labda kwavile alipkufa Sokoine i was still a kid!!! Ina maana nae alitaka kutoka CCM?!?!?! Alitaka kuhamia chama gani? au alitaka kurudi umasaini!!? Na hilo suala la Balali wala haliingii akilini!! nani nchi nchi hii mwenye jeuri ya kutaka kwenda kumwaga mboga bungeni?
   
 5. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Mfano tuseme Sokoine aliuliwa na usalama wa taifa...nani ali-organize mauwaji hayo na kwa sababu gani....?
   
 6. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  ha ha ha
  BaLALI yuko visiwa vya Marta anakula bata tu.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Nov 16, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,564
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Inategemea nani anaenda huko!
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,547
  Likes Received: 18,211
  Trophy Points: 280
  Rejea tuu!.
  P.
   
 9. l

  lufungulo k JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2017
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 1,267
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 180
  Sikioni nilichokitafuta,nimerudia kusoma ,nimerudia tena. Na tena
   
 10. K

  KALEBE JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2017
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 80
  Kama unaogopa kuondoka ccm kwa sababu tu ya kuhofia usalama wako, basi hufai kuwatumikia wananchi, kumbuka ya kwamba unapokuwa kiongozi unakubaliana na hali zote, viongozi wa namna hiyo ndio waliolifikisha taifa hapa tulipo hii leo, cause wanaangalia maslahi yao zaidi kuliko maslahi ya wale anaowaongoza

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 11. BuletAngle

  BuletAngle JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2017
  Joined: Apr 15, 2017
  Messages: 295
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Dah
   
 12. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2017
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  Kwan lazimq mtu uwe na.chama?
   
 13. P

  Pohamba JF-Expert Member

  #13
  Nov 20, 2017
  Joined: Jun 2, 2015
  Messages: 14,393
  Likes Received: 21,334
  Trophy Points: 280
  Kosa la Kolimba sio kuhama Chama bali alitaka kupasua Chama kwa kutumia Mamlaka na ushawishi wa madaraka aliyowahi kushika ya Ukatibu Mkuu wa chama
  Mbona Mrema, Lowassa , Kingunge , Sumaye wote wamehama bila Tatizo !
  Horace alikusudia kuvuruga Chama Yeye na ilifumwa Barua akimpelekea Swahiba wake Dilunga akisema 'Ukuta wa Barlin umeanguka'
  Ilisomwa kwny CC ya Chama kila Mtu hakuamini!
   
 14. Pesa karatasi

  Pesa karatasi Senior Member

  #14
  Nov 20, 2017
  Joined: Nov 6, 2017
  Messages: 126
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Siasa sio uadui,Acha wahame..!
   
 15. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #15
  Nov 20, 2017
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Ile ya Kolimba ilikuwa kali kuliko zote!!! Pia ya Sokoine nayo kali sana!!! Ya Kombe ni kama ya Lisu tu
   
Loading...