Kabla ya kutoka ccm jiulize mara mbili;horace kolimba,gen kombe,balali,sokoine wako?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabla ya kutoka ccm jiulize mara mbili;horace kolimba,gen kombe,balali,sokoine wako??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Nov 15, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,196
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  Hili ni wazo la bure kwa wale waliobahatika kupata neema ya uongozi CCM Hasa za juu...kuna wenzetu wengi wamepotea katika mazingira ya kutatanisha na mpaaka leo hii si serikali wala nani anaewaongelea..kwa upande mwingine ningeweza kusema wamechukuliwa na misukule....kuna viongozi waliokuwa waadilifu wakataka kuhama CCM...wengine iliamuliwa waadhibiwe kule kule dodoma kabla ya kurudi kwao kama marehemu kolimba...yupo wapi sokoine maskin baba wa watu aliepata ajali usalama wakammaliza kwa kudai kafa ajalini...wapi balali alietaka kutoa siri za EPA dodoma akaishia kuletwa na ndege ya kukodi hapo airport kabla ya kwenda marekani na kuambiwa ur too late israel on the way we cant do anything....swala la uongozi CCM si kitu cha kuchezea wanandugu kama mna ndugu zenu wapeni tahadhari..wengi wanaweza mwona spika sitaa ni kichaa lakini anajua anachofanya anajuwa familia yake iko wangapi na anajua kumwondoa aichukui muda na anajua familia itatesekaje akiondoka...swala la uongozi wa ccm ni wewe na maisha yako na kama unahama vizuri uondoke kwa amani.....Ndio maana mnakumbuka ndugu yangu deo swanzugwako alipokimbia CCM .babu wassira stephen alipokimbia CCM wanajua kilichowafata na leo kuwa mawaziri na wengine wabunge........if u cant'm join'm.......hongera maalim seif.hamad

  SWALI NAULIZA

  HORACE KOLIMBA

  BALALI

  SOKOINE

  WALIUUWAWA NA NANI??
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,196
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  leo hii nimepata ujumbe,,,,kwa nini viongozi wa serikali ya CCM wanaogopa kwenda kuabudu kanisa linalotoa misukule""""""""""""NYUMBA YA MUNGU """wanaogopa kuulizwa live na hao waliowachukua
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,904
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Pdidy hivi una habari kuwa hata Seif Sharriff Hamad,Augustino Lyatonga Mrema,Mabere Marando, Edwin Mtei na wengine wengi ,wote wlikuwa ccm katika ngazi za juu?
   
 4. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,311
  Likes Received: 1,593
  Trophy Points: 280

  Too imaginative!!! anyway, labda kwavile alipkufa Sokoine i was still a kid!!! Ina maana nae alitaka kutoka CCM?!?!?! Alitaka kuhamia chama gani? au alitaka kurudi umasaini!!? Na hilo suala la Balali wala haliingii akilini!! nani nchi nchi hii mwenye jeuri ya kutaka kwenda kumwaga mboga bungeni?
   
 5. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 133
  Mfano tuseme Sokoine aliuliwa na usalama wa taifa...nani ali-organize mauwaji hayo na kwa sababu gani....?
   
 6. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2009
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,043
  Likes Received: 1,207
  Trophy Points: 280
  ha ha ha
  BaLALI yuko visiwa vya Marta anakula bata tu.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Nov 16, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,419
  Likes Received: 2,664
  Trophy Points: 280
  Inategemea nani anaenda huko!
   
Loading...