Kabla ya kuteuliwa wakuu wapya wa wilaya na wakurugenzi, mikataba yote ya halmashauri ipitiwe

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,179
7,330
Naamini hii ni task nyingine mikononi mwa wakuu wa mikoa, baada ya ile ya wafanyakazi hewa. Kila halmashauri nchini ina mikataba isiyopungua 10 inayohusiana moja kwa moja na mapato ya serikali.

Nashauri rais aweke "pause" kwanza kama kulikuwa na mpango wowote wa kuteua wakuu wa wilaya na wakurugenzi karibuni...
 
Lakini wakuu wa wilaya hawahusiki na mikataba ya halmashauri za wilaya zao!
Yale ulikuwa unayaona Kinondoni ni kiherehere cha Makonda tuu na kutokujua wajibu wake ni nini
 
Back
Top Bottom