Hayo mambo hayana formula we kama ukiona mtavumiliana ishini....huwezi kusema unajipanga kitabia, mwanadamu sio robot kusema asibadilike, huwezi kusema ujipange kiuchumi kila siku mahitaji ya mwanadamu yanaongezeka kulingana na kipato unachokuwa nacho.....Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana?
Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.
Mmmh kwani hawezi kubehave kimaterial kabisa ili tu aingie kwenye ndoa aitwe mrs afu ndo aoneshe her true colour....ndoa hainaga commando Wazee adi wa miaka 60+ wanakoseanakikubwa chunguza sana mkigombana anakutamkia maneno gani.. hayo atayokutamkia ndo jinsi anavyokuchukulia wewe..
sasa kama utaweza kuishi na mwanamke anayekuchukulia hivyo basi we oa.
RESPECT ni kitu kikubwa ambacho mwanamke anatakiwa amuoneshe mwanaume, sio wakati wa furaha tu hata wakati wa karaha.
inatokea mnagombana afu mwanamke anakimbilia kukujibu kunya?
Nimesema hamna kukoseana au ni jinsi anavyokujibu mkikwaruzana? soma vzuri SweetMmmh kwani hawezi kubehave kimaterial kabisa ili tu aingie kwenye ndoa aitwe mrs afu ndo aoneshe her true colour....ndoa hainaga commando Wazee adi wa miaka 60+ wanakoseana
Kupretend kwan sh ngapi....ndoa ni vile tu watakubaliana wenyewe anaweza akamjibu vibaya lakini mapenzi upofu ata asione kama anakosewanimesema hamna kukoseana au ni jinsi anavyokujibu mkikwaruzana? soma vzuri Sweet
Umesahau vingine kadhaaAsiombe pesa
Mi naongelea reality we unaongelea assumption. hapo ndo tulipotofautianaKupretend kwan sh ngapi....ndoa ni vile tu watakubaliana wenyewe anaweza akamjibu vibaya lakini mapenzi upofu ata asione kama anakosewa
kikubwa chunguza sana mkigombana anakutamkia maneno gani.. hayo atayokutamkia ndo jinsi anavyokuchukulia wewe..
sasa kama utaweza kuishi na mwanamke anayekuchukulia hivyo basi we oa.
RESPECT ni kitu kikubwa ambacho mwanamke anatakiwa amuoneshe mwanaume, sio wakati wa furaha tu hata wakati wa karaha.
inatokea mnagombana afu mwanamke anakimbilia kukujibu kunya?
Tingisha njiti kwanza.Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana?
Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.