Kabla ya kuoa ni mambo gani mnatakiwa kuzingatia wewe na mchumba wako

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana?

Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.

1627021888726.png
 
Sipo ndoani ila nipo kwny mahusiano ya muda mrafu sana nadhan naomba nikupe hongera sana kwa jukumu hilo nadhani ndoa ni ibada na uvumilivu mengine nyongeza tu mzee.

Kuna mwandishi mmoja aliwahi kuandika ili ndoa ishamiri inatakiwa mwanamke avumilie ujinga wa mmuwe na mme astahimili upumbavu wa mkewe.

Asubhhi njema
 
Hakikisha ukimwandaa analowana kule kwa down vinginevyo utapaka mate
 
Hongera ila cha kuzingatia chunguza family yake na yeye kwa ujumla pia dini wote muwe na dini moja Kama sio dini moja muwe na muelekeo mmoja wa din
 
kikubwa chunguza sana mkigombana anakutamkia maneno gani.. hayo atayokutamkia ndo jinsi anavyokuchukulia wewe..
sasa kama utaweza kuishi na mwanamke anayekuchukulia hivyo basi we oa.

RESPECT ni kitu kikubwa ambacho mwanamke anatakiwa amuoneshe mwanaume, sio wakati wa furaha tu hata wakati wa karaha.
inatokea mnagombana afu mwanamke anakimbilia kukujibu kunya?
 
Wakuu nina mpango wa kuoa ifikapo mwakani ila naombeni muongozo ni mambo gani ya kuzingatia wewe na mpenzi wako kabla ya kufikia hatua ya kuoana?

Kwa wale mnaofahamu nitashukuru mkinipa mwongozo.
Hayo mambo hayana formula we kama ukiona mtavumiliana ishini....huwezi kusema unajipanga kitabia, mwanadamu sio robot kusema asibadilike, huwezi kusema ujipange kiuchumi kila siku mahitaji ya mwanadamu yanaongezeka kulingana na kipato unachokuwa nacho.....
 
kikubwa chunguza sana mkigombana anakutamkia maneno gani.. hayo atayokutamkia ndo jinsi anavyokuchukulia wewe..
sasa kama utaweza kuishi na mwanamke anayekuchukulia hivyo basi we oa.

RESPECT ni kitu kikubwa ambacho mwanamke anatakiwa amuoneshe mwanaume, sio wakati wa furaha tu hata wakati wa karaha.
inatokea mnagombana afu mwanamke anakimbilia kukujibu kunya?
Mmmh kwani hawezi kubehave kimaterial kabisa ili tu aingie kwenye ndoa aitwe mrs afu ndo aoneshe her true colour....ndoa hainaga commando Wazee adi wa miaka 60+ wanakoseana
 
Nimesema hamna kukoseana au ni jinsi anavyokujibu mkikwaruzana? soma vzuri Sweet
 
nimesema hamna kukoseana au ni jinsi anavyokujibu mkikwaruzana? soma vzuri Sweet
Kupretend kwan sh ngapi....ndoa ni vile tu watakubaliana wenyewe anaweza akamjibu vibaya lakini mapenzi upofu ata asione kama anakosewa
 
Kachek afya kwanz kwa pamoja na uepuke kupekua cm ya mkeo jombaaa kila la kheriii ktk ndoa yako MUNGU awape aman na upendo mzae watt wakawe na furaha mbele ya MUUMBA
 
kikubwa chunguza sana mkigombana anakutamkia maneno gani.. hayo atayokutamkia ndo jinsi anavyokuchukulia wewe..
sasa kama utaweza kuishi na mwanamke anayekuchukulia hivyo basi we oa.

RESPECT ni kitu kikubwa ambacho mwanamke anatakiwa amuoneshe mwanaume, sio wakati wa furaha tu hata wakati wa karaha.
inatokea mnagombana afu mwanamke anakimbilia kukujibu kunya?

Uko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom