Kabla ya kuoa hakikisha kwanza umekuwa "Mwanaume"

Mwanaume inabid hasira ziwepo ..wife akitaka kufanya ufala akakuwaza ulivo Moto lazima aache

Dunia hii hamna binadam hapendi shortcut ...cha msingi hyo shortcut itengenezee mazingira safi ...hapa kwetu Tanzania asilimia 80% ya matajiri wengi ni wazee wa shortcut..
Wwe ndio umeongea
 
WARNING:Ukijiona una roho/mambo/tabia ya kike hata kwa asilimia moja, plz usioe. Twende sasa..

Hakuna kiumbe chenye akili kama mwanamke lakin amenyimwa nguvu na uvumilivu, kwa wanaume tuna 'upeo' mkubwa kwasababu ya uvumilivu na nguvu tulizopewa, sijui umeelewa!!

Kama una roho ya umama, mkeo atakugundua haraka sana, na utakuwa umempa tiketi ya kukuendesha kama guta, unanipata vizuri? Ukiona mkeo amekuwa kiburi na jeuri mbele yako ujue hukustahili kuoa ( vipi unataka kujitetea, Hahahahahah) . Naendelea... ni hivi hawa viumbe yaan wanawake ni waoga mno na wamepewa moyo wa utii, lakin wamepewa pia macho ya utambuzi, ni hivi macho yao yaan akili zao ni rahisi sana kumtambua huyu mwanaume au sio kabla hawajaona hawana jinsi zaidi ya kutii, na huwa wanatii kwa 100% wakijiridhisha kwamba huyu ni mwanaume asilimia 100%.

Mwanaume ndiye msimamizi wa mwanamke, unatakiwa kuifanya akili ya mkeo ikutegemee wewe, sio kutegemea magroup ya WhatsApp au jamii forum, inatakiwa mkeo kila kitu kipya atakachokisikia au kukiona huko aje mbio kwako akuulize, "mume wangu nimeona au nimesikia hiki, je kweli ni sahihi?".

Mwanaume lazima sio hiyari, ni lazima ujue mambo mengi, hata kama umesomea Udaktari lakin uwe na ABC kuhusu mambo ya kisiasa, kijamii n.k, ni hivi Janaume unapotoa lecture au maelekezo au msimamo wako jinsi gani familia iende basi hakikisha umeshiba nondo hasa.. sikiliza mwanaume unatakiwa uwe dictionary kwa mkeo, popote atakaposhindwa unatakiw utoe tafsiri.

Nikupe mfano, kipindi unasoma ulikuwa unajua kabisa ukipata swali gumu la mathematics umpelekee mwalimu nani, wale walimu uliokuwa unawapelekea swali alafu wanachemsa, ulikuwa unawaonaje?? Ndo anavyokuona mkeo pale anapokuja na kitu kinachomtatiza alafu nawewe ukashindwa, anakuona mbuzi fulan hivi mla majani.

Kuwa mwanaume mwenye roho, maamuzi, ujasiri na kila kitu cha kiume, mwanaume wa kweli ni yule ambaye yupo tayari kulinda brand ya kiume katika mazingira yoyote yale, usilegeze kuwa mwanaume kamili eti umfurahishe mkeo au demu wako, umekwisha my friend, ikibidi demu au mke aondoke kisa umesimamia uanaume wako, mwache aende. Wew ndo umepewa nafasi ya kuwa kiongozi, muoneshe demu wako njia sasa..

Baadhi ya tabia ambazo mwanaume ukiwa nazo jua una ukike na usije ukajichanganya kuoa,

1.kupenda kubembelezwa

2.kujali sana kujipamba

3.roho ya chuki, uchoyo, hikidi na kutaka mwenzio apatwe na mabaya

4.hasira zilizopitiliza

5.uvivu, kujipendekeza

6.kupenda urahisi na shortcut

7.umbea na kufuatilia mambo ya wenzako

8.kushindwa kusimamia ukweli, kuweka vitu moyoni, na kususa susa

9.kujilinganisha na wengine na kujishusha, kukosa kujiamini na kukata tamaa,

10.kujisifia

Mwisho;

MWANAUME HAPENDWI ANAHESHIMIWA
Hasira na kuweka vitu moyoni nilishindwa(asili ya kabila),,ila hayo mengine mimi ni Mtabe Sana mtaa mzima wananiogopa 😝😝
 
Ila heshima inakuja na gharama zake na ni lazima uzilipe.

1.Ability to provide maana mwanamke ni mtu wa kupokea siku zote...Hela, Love & Care, Protection. Ukishindwa hapa probability of failure ni 80%

2. Ability to stand firmly as a man. Msimamo wako juu ya kile unachokiamini bila kuyumbishwa. Ikibidi hata kumpoteza mke just to protect your pride! Hii itakusaidia kusonga mbele daima... Ukishindwa hapa probability of failure ni 20%

Bila hayo mawili heshima utaisikia kwenye vyombo vya habari tu.
Siwezi kutoa love na care bila uwajibikaji upande wa pili.
 
Hakuna kiumbe chenye akili kama mwanamke lakin amenyimwa nguvu na uvumilivu, kwa wanaume tuna 'upeo' mkubwa kwasababu ya uvumilivu na nguvu tulizopewa, sijui umeelewa!!

MWANAUME HAPENDWI ANAHESHIMIWA
Ahsante kwa muongozo...
 
Ila heshima inakuja na gharama zake na ni lazima uzilipe.

1.Ability to provide maana mwanamke ni mtu wa kupokea siku zote...Hela, Love & Care, Protection. Ukishindwa hapa probability of failure ni 80%

2. Ability to stand firmly as a man. Msimamo wako juu ya kile unachokiamini bila kuyumbishwa. Ikibidi hata kumpoteza mke just to protect your pride! Hii itakusaidia kusonga mbele daima... Ukishindwa hapa probability of failure ni 20%

Bila hayo mawili heshima utaisikia kwenye vyombo vya habari tu.
Chief mwanamke ni kiumbe kisicho tabirika asilani ni Mungu tu akipendezwa akupatie wa kukufaa mwenye upendo wa kweli kwako;

1. Prof. X wangu alioa binti kisu graduated wakati huo yeye akichukua Doctorate kabla hajawa Prof, alimpa kila kitu yule mke mpaka harrier mbichi kabisa asishawishike, wakazaa watoto wawili binti akaomba arudi ku'skull Msc pale pale chuoni anapofundisha mumewe hapo mume ndio msomeshaji, matokeo yake pale chuoni mkewe akakolea kwa muhuni mwingine aliyekuwa anasoma Pstg, Prof kawafumania mara mbili, mara ya kwanza jamaa aliitiwa kelele za mwizi na Prof. mwenyewe, ile kukamatwa kupigwa kumuangalia vizuri kumbe mwanafunzi tulishangaa mwizi gani smart hivi
Mlinzi kuja kumpeleka polisi kesi ikajulikana ni ugoni sio wizi, ikaisha kibingwa nahisi alionga, akarudi huku anajiuguza lakini yule demu hakumuacha muhuni penzi la kificho lilivyo tamu, Profesa mara ya pili presha ilimpanda alipowafumania tena, ulishawahi ona mtu mzima msomi anatoka chozi mikono inamtetemeka kisa mapenzi, acha kabisa.
Haya mambo haya hayanaga ujuzi...

2. Workmate wa idara moja aliingia mpaka mkopo wa gari walau mkewe asitembee kwa daladala, mkewe tulikuwa tunamuita J.lo alivyo mzuri, demu kazaa nae mtoto mmoja tu, lakini sijui imekuwaje mkewe akanasa kwa jamaa fulani.. maeneo ya kinondoni.
Jombaa usikie tu haya mambo...hawa viumbe wakigeuza shingo utasali sala zote, ulishawahi ona mtu anaenda bembeleza mwanaume mwenzie amuachie mama mtoto wake mke alihamia kwa jamaa kabisa baaa ya kunogewa, mpaka tulihisi uenda yule muhuni alimroga mke wa mshkaji
ukiangalia utofauti wa maisha ya mshkaji na yule muhuni unachoka kabisa.

at the end of the day workmate akanyoosha mikono juu kwa uchungu.
 
Hahahah mkuu mwanamke kuzingua ni kama msiba tu hauna tarehe wala taarifa. Ndio maana mie sitakagi kugharamia mwanamke ili anipende, kama anitaki aseme mapema tu..
 
Mimi kama mwanaume nasema hivi... Ili uwe mwanaume wa kweli lazima uwe na hela na nguvu za kiume tuu na sio vinginevyo.
 
Back
Top Bottom