KABLA YA KUNUNUA COMPUTER NI VITU GANI MUHIMU VYA KUANGALIA?

Tiplit yohana

New Member
May 8, 2021
3
45
Wah. Nimatumaini yangu mko salama, poleni na ramadhan pia.
Nahitaji kununua PC je? ni vitu gani vitakavyo ni hakikishia kwamba pc ninunuayo ni bora kwa matumizi?
 

codifier

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
326
500
Vitu vya kuzingatia ni vifuatavyo
Computer specification
Ram at least 4gb
Processor minimum core i3
Memory Ssd at least 256gb
Battery yenye kukaa na charge sio chini ya 4 hours out of power
6 generation and above
Light keyboard
Slim in size and shape

Hapa chukua hp pro book, lenovo, toshiba poritege coi5 au MacBook Air.

All the best
 

Tiplit yohana

New Member
May 8, 2021
3
45
Vitu vya kuzingatia ni vifuatavyo
Computer specification
Ram at least 4gb
Processor minimum core i3
Memory Ssd at least 256gb
Battery yenye kukaa na charge sio chini ya 4 hours out of power
6 generation and above
Light keyboard
Slim in size and shape

Hapa chukua hp pro book, lenovo, toshiba poritege coi5 au MacBook Air.

All the best
Ahsante kwa msaada wako mkuu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom