Kabla ya Kujiita jina hasa kwa kuiga tafadhali jua maana yake: Maana ya jina la DIVA

hahaha, mkuu Hapo nilikuwa nata ku-balance tu, we hujuagi vile kubalance mambo....


Ni kweli jina la Muhammad ni jina la kawaida kabisa kama lililvyo jina Emmanuel amblo ndilo jina yesu wa Nazareti alipewa na malaika ayetumwa na Mungu!
 
Ah! Kaazi kweli kweli! Watu wa ANTI FREEMASON bana. Wao kila kitu watakihusisha na freemason. DIVA, hmmmm, ila hili neno hajalitumia Beyonce peke ake, na hilo jina wapo wanawake wanaojiita na ni wazungu! Hivi unakijua kipindi cha WWE Diva? Hebu kitafuta ndo utajua kama hao wazungu wengi sana wanajiita ilo jina! Huo ufreemason wa diva ndo kwanza niusikie leo.
 
Hivi vitu ukiviamini sana vitakusumbua mawazo.

Mbona kuwa wengi tu wanaitwa God nayo utasemaje??
Kuna watu wengi wanaitwa angel nayo ni vibaya??
Kuna watu wanaitwa Jesus/Yesu nayo utasemaje?
Kuna wengi tu wanaitwa Mohamed na hapo je?

kuna 'kuitwa' na 'kujiita'.mzazi ampa mtoto jina.baadaye mtoto anaona jina alopewa halifai then ajiita jina analolijua yeye halafu nawe walicopy bila jua why ajiita hivyo.
 
Diva maana yake ni Female Opera Singer kama kina Aretha Franklin na wanaofanana na hao!!

Ila kiharisia Diva limetokana na kilatini(Mungu wa kike)

Source:wikipedia
di·va Noun
1. A famous female opera singer.
2. A female singer who has enjoyed great popular success.

Je huyu diva mnuka kei wa clouds anajua maana yake au ndio kajipachika tu? Kwanin na yeye ni Opera singer au kutanganza studio nayo ni opera?


o·pe·ra Noun
1. A dramatic work in one or more acts, set to music for singers and instrumentalists.
2. Such works as a genre of classical music.
 
kuna 'kuitwa' na 'kujiita'.mzazi ampa mtoto jina.baadaye mtoto anaona jina alopewa halifai then ajiita jina analolijua yeye halafu nawe walicopy bila jua why ajiita hivyo.

watu msi-complicate bhana, hizo ni a.k.a za kawaida tu, (note: lakini hizi usihusishe na imani ukihusisha na imani yoyote utapata tabu) , nikijiita God ndio nimekuwa Mungu kweli?? Mtu akijiita Zimwi ni zimwi kweli?

Haya basi na mimi najiita mathematics hamkawii kusearch google maana ya mathematics kwa ki-freemasons....

hamkawii kusearch google maana ya gwino kwa ki-freemasons.... hamkawii kusearch google maana ya nivea kwa ki-freemasons....hamkawii kusearch google maana ya najua kwa ki-freemasons....hamkawii kusearch google maana ya chilubi kwa ki-freemasons....hamkawii kusearch google maana ya King Kong III kwa ki-freemasons....
 
Last edited by a moderator:
In life kila kitu ukikichukulia serious utachizi vitu vingine tuviache hivyo hivyo ukimchunguza Batavia utamla wewe anzeni Sasa kutafuta na maana ya majina ya magari ka mtapanda magari
 
Hivi vitu ukiviamini sana vitakusumbua mawazo.

Mbona kuwa wengi tu wanaitwa God nayo utasemaje??
Kuna watu wengi wanaitwa angel nayo ni vibaya??
Kuna watu wanaitwa Jesus/Yesu nayo utasemaje?
Kuna wengi tu wanaitwa Mohamed na hapo je?

hakuna mtu anayeitwa GOD bali kuna godlove ie upendo wa mungu,godfrey,godson etc yote hayo yana manake ila hayamanishi mungu pia watu walianza kuitwa mohamed na yesu kabla hata hawa watu hawajazaliwa nyinyi watanzania mnapenda tu kuiga vitu ambavyo hamvijui
 
Aisee hii ni mara ya pili kusikia mtu anafafanua neno diva. Na nimefananisha naona kuna tofauti ya aliyenifafanulia wa kwanza na wewe wa pili. Mara ya kwanza nilisikia msanii wa kike Arusha anayejiita Ghetto Diva na anafanya mziki wa hip hop, kwenye interview ndani ya tripple A f.m alifafanua kifupi ila yeye alitumia maana ya hili neno kupitia dictionary., kuwa diva ni msichana mahiri anayeimba opera., na yeye alijiita diva wa ghetto sababu haimbi bali anachana, nilimuelewa sababu nilisearch dictionary zote hadi za B.C na kugoogle nilipata jibu hilihilo., na ilinikera sana kuona maana ya neno wasichana wengi hawalijui ila hulitumia. sasa nashindwa kuelewa maana halisi ya hili neno.. Labda unipe link nisome vizuri nichanganue
 
aisekama ni kufurahisha genge poa. ila diva kwenye oxford dictionary haisemi hivyo hata ukisoma wikipedia haiielezei kihivyo umavyolazimisha.kama unasema hoova kwa jay z ni kujifanani na mungu vipi akina godfrey. godbless na wenyewe ni mafreemanson kwasababu majina yao yana God
Jay Z anajiita Hoova kuelewa zaidi soma hili neno JAY HOOVA umeelewa hapo achana na hao akina godbless
 
aisekama ni kufurahisha genge poa. ila diva kwenye oxford dictionary haisemi hivyo hata ukisoma wikipedia haiielezei kihivyo umavyolazimisha.kama unasema hoova kwa jay z ni kujifanani na mungu vipi akina godfrey. godbless na wenyewe ni mafreemanson kwasababu majina yao yana God
God ni tofauti kimaana na Godbless, Godfrey, Gidwin n.k
 
Umetoa maelezo marefu lakini ni vyema ukafahamu kuwa haijawahi, siyo na haitakuwa mwanamke kuwa Freemason, kwa hiyo wanawake wote wanaojisema ni freemasons ni waongo. Freemason is the fraternity Brotherhood of Men under the superbeing.
 
Madem wengn username zao social network ndo kma hvo unakuta [HASHTAG]#cute[/HASHTAG] [HASHTAG]#pretty[/HASHTAG] ukiwazoom sas unaktana na face ambayo mtoto akiiona analia mwnyew
SAMAHANI WADADA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom