Kabla ya kugomea Clouds, CHADEMA watupe mrejesho wa mgomo wa laini za Voda

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,319
2,000
Ndugu zangu,

Vituko haviishi duniani, makamanda walihamasishana kugomea laini na huduma za kampuni ya Vodacom nchi nzima miaka michache iliyopita.

Juzi baada ya Sabaya kumpiga Mbowe jiwe la gizani kupitia Clouds makamanda wamekasirika,wamenuna kama kawaida wametangaza kununia na kususia Clouds Media.

Kwa upande wangu sina tatizo na uamuzi wao kususia na kununia Clouds Media. Nilikuwa ninataka umma wa Watanzania upewe tathimini na uamuzi wao kugomea huduma za kampuni ya Vodacom miaka michache iliyopita.

Je, wameinunia Clouds Media?
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,857

Lete official statement ya chadema.

Sio kwa vile yeriko kaigomea clouds au voda basi una conclude unasema chadema
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom