kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,234
Kijana moja sharobaro ambaye mpenda kuvaa kata key na kujikwangua nyusi na nywele leo kimemuakia cha moto. Ni mmoja kati ya mpangaji mwenzangu.
Wakati akifua nguo akawa anakamua suruali yake. Mama yangu kiwembe kilimlima chini ya mkono wake na kwa bahati mbaya nilikuwepo peke yangu, kijana alilia sana. Damu zilikuwa zikiruka mithili ya kuku kachinjwa. Very sad yaani.
Wana jamvini nawakumbusha kagua nguo kabla ya kufua