kabla ya kufua nguo tuzikague, sharo kimemkuta leo

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Kijana moja sharobaro ambaye mpenda kuvaa kata key na kujikwangua nyusi na nywele leo kimemuakia cha moto. Ni mmoja kati ya mpangaji mwenzangu.
Wakati akifua nguo akawa anakamua suruali yake. Mama yangu kiwembe kilimlima chini ya mkono wake na kwa bahati mbaya nilikuwepo peke yangu, kijana alilia sana. Damu zilikuwa zikiruka mithili ya kuku kachinjwa. Very sad yaani.
Wana jamvini nawakumbusha kagua nguo kabla ya kufua
 
Sisi tulosoma Sayansi Kimu wakti ule tunafahamu kwamba ; Kanuni Nne za kufua nguo! Kanuni ya kwanza kabisa ni kupiga search mifuko yotee ya nguo. Kalagabhao vijana wa kileo
 
Adhabu ya kaburi aijuaye maiti na ukilikoroga lazima ulinywe. Nadhani hili somo tosha. Simuonei huruma huyu limbukeni.
 
Kijana moja sharobaro ambaye mpenda kuvaa kata key na kujikwangua nyusi na nywele leo kimemuakia cha moto. Ni mmoja kati ya mpangaji mwenzangu.
Wakati akifua nguo akawa anakamua suruali yake. Mama yangu kiwembe kilimlima chini ya mkono wake na kwa bahati mbaya nilikuwepo peke yangu, kijana alilia sana. Damu zilikuwa zikiruka mithili ya kuku kachinjwa. Very sad yaani.
Wana jamvini nawakumbusha kagua nguo kabla ya kufua

enz zetu kulikuwa na somo la sayansi kimu tulifunzwa hayo! sku hz shule za kata wanajua sindimba na kata k,mana mashule hayo no walimu na mengine yamezungukwa na guest na bar,wavuta wida ndo ucpme atajulia wapi kucheck mifuko b4 kufua?
 
Mtu mzima anatembea na Nyembe atafuta nini? Au kibaka huyo? Shame on him!
 
Huyo sio sharo, atakua ni wale mateja wanaotembea na nyembe kama zana wakati wa ukwapuzi....mwosha uoshwa
 
Huyo atakuwa ni teja kwa sisi wenye asili ya hela lazima kabla ya kufua upige sachi kama kuna masalia ya hela.Wembe unawekwa kwenye wallet na sio mfukoni
 
Kijana moja sharobaro ambaye mpenda kuvaa kata key na kujikwangua nyusi na nywele leo kimemuakia cha moto. Ni mmoja kati ya mpangaji mwenzangu.
Wakati akifua nguo akawa anakamua suruali yake. Mama yangu kiwembe kilimlima chini ya mkono wake na kwa bahati mbaya nilikuwepo peke yangu, kijana alilia sana. Damu zilikuwa zikiruka mithili ya kuku kachinjwa. Very sad yaani.
Wana jamvini nawakumbusha kagua nguo kabla ya kufua
Hivi hadi leo watu wanatembea na viwembe mfukoni?
 
Sisi tulosoma Sayansi Kimu wakti ule tunafahamu kwamba ; Kanuni Nne za kufua nguo! Kanuni ya kwanza kabisa ni kupiga search mifuko yotee ya nguo. Kalagabhao vijana wa kileo

Mkuu sayansi kimu ni msamiati mgumu sana kwa vijana wa leo na sio kufua tu hata kupika!
 
Huyo atakuwa ni teja kwa sisi wenye asili ya hela lazima kabla ya kufua upige sachi kama kuna masalia ya hela.Wembe unawekwa kwenye wallet na sio mfukoni
Haipaswi kabisa wembe kutunzwa mfukoni, kwa vile utachana mfuko.
Sasa huyu aliweka kwa minajiri gani?
 
Sisi tulosoma Sayansi Kimu wakti ule tunafahamu kwamba ; Kanuni Nne za kufua nguo! Kanuni ya kwanza kabisa ni kupiga search mifuko yotee ya nguo. Kalagabhao vijana wa kileo
Ya pili kama imechanika ishone! lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom