kabla ya ku-kiss zingatia yafuatayo

chief72

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
625
302
kabla ya kula dend* fanya yafuatayo kwanza pigen mswaki mates kwa pamoja pili,chukua tochi kukagua mwenza wako hajawai kung'oa jino kama kawahi ng'oa tafuta plasta uzibe pengo la mwenza wako kujihakikishia yupo okey muulize mate wako kala nini before(kunde maharage, njegere, njugumawe are not good) kama kavuta sigara au kala ndum some hours past, hilo denda si salama rudia tena kumulika kwa tochi yenye mwanga mkali hadi ujiridhishe IMETOLEWA NA WIZARA YA AFYA KITENGO CHA DENDA SALAMA
 
Mi mzee wa papara sina huo mda, nikimdaka tu nanyonya bila kujali katoka kutapika au kula kiporo
 
kabla ya kula dend* fanya yafuatayo kwanza pigen mswaki mates kwa pamoja pili,chukua tochi kukagua mwenza wako hajawai kung'oa jino kama kawahi ng'oa tafuta plasta uzibe pengo la mwenza wako kujihakikishia yupo okey muulize mate wako kala nini before(kunde maharage, njegere, njugumawe are not good) kama kavuta sigara au kala ndum some hours past, hilo denda si salama rudia tena kumulika kwa tochi yenye mwanga mkali hadi ujiridhishe IMETOLEWA NA WIZARA YA AFYA KITENGO CHA DENDA SALAMA

Umesahau pipi kifua au Chupachups, kulainisha ulimi

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Mimi naogopa denda unaweza ukachanganyiwa na makoozi napanda kama beberu kwani natafuta mate au bao.
 
Back
Top Bottom