Kabla sijawa tajiri kama kuna mtu anataka kufa, afe kabisa

Tatizo watu wanaamini kila wanachokiona. Ndio maana sasa hivi waganga wa jadi wanapga diluli niaje. Yote kwa ajili ya hayo
Huyo Yesu mwenyewe aliuzwa kwa mavumba babuu. We vipi bhana habari za Yesu humu za nini au unatafuta waumin bob
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom