Kabla sijapata ajira kampuni iliyoninyanyasa ndio iliyoniajiri

Nilipoona ulimuomba mlinzi kazi nimesoma mwisho nikaona itaendelea nikajua hamna kitu hapa.
 
😂😂😂😂😂😂 daah hii story aisee
Mkuu umewaza nini mpaka kuitupia hapa mbona ya kawaida sana yaani ni nyepesi hatari.
Basi mimi nakajua jamaa aliajiriwa kwa ngazi ngumu then wajuu wakamdharau baada ya muda akaajiriwa ngazi ya juu kumbe ni uwezo wa kunyanyua kilo 25 tu ndo umekufanya uifanye story kabisa. Aisee noma
 
we jamaa umadata
1. wote mlipewa sare (ovaroli) sasa huo u smart sijui u tozz umekuja vp na ni siku ya kwanza ama ulikuwa watembea kisharobaro

2. kilo 25 ndo jamaa wakushangae, ama umesahau kuweka sifuri iwe 250
kama ni 25 hakuna kitu hapo
 
Ah huu ungese wa itaendelea ushakua fashion humu....
Ma great thinker nilijiunga humu kuwafata ila huu utopolo sasa ...
Unafanya nisitamani watu wengi wajiunge maana ma kitu kama haya yatajaa humu
 
JARIBIO LA KWANZA KWANGU BAADA YA KUANZA KAZI
Itaendeleaaaa.......

Wale ma supervisor wa kitengo nilichopo waliniangalia sana wakaniita chemba,,,unajua nini kilifata walinivua overall na kunipaka mafuta kwenye makalio.

Kilichofata itaendelea....
Kama washakupaka wese fanya kama unajikuna tu😂😂😂
 
dogo unapamba sana...mie nilikuea hapo 2004 to 2005...nilikuwa blowing machines...zile za kuzalisha chupa...kumaintaine machines na production.

Enzi hizo...kuna maji mpaka ya viroba yale ya kandolo...

Mpaka bakhressa anatupigia simu...kwenye hizo chum power machines toka Thailand....kuuliza production na machines zake maaana zilikuwa mpya sana.

Kuna madogo niliwafundisha kazi wkt nasepa...wakachukua maisha...

Sasa dogo unasimulia kwa mbewembwe sana....sema watu wakuunge uchuke maisha full wenzio tuna history ndefu sana hapo.

Sukupenda salary nikasepa kwenda chuo...kuongeza elimu...

Tuliposepa mzee anaulizia vijana wake...
Ndio hivyo maslahi...
 
Naomba mnisamehe ndugu jamaa na marafiki...kama mnakumbuka siku ambayo natakiwa nilete page ya tatu ndo siku ambayo tuliletewa taarifa ya msiba wa Taifa..!!,tuendelee kujifukiza
 
dogo unapamba sana...mie nilikuea hapo 2004 to 2005...nilikuwa blowing machines...zile za kuzalisha chupa...kumaintaine machines na production.

Enzi hizo...kuna maji mpaka ya viroba yale ya kandolo...

Mpaka bakhressa anatupigia simu...kwenye hizo chum power machines toka Thailand....kuuliza production na machines zake maaana zilikuwa mpya sana.

Kuna madogo niliwafundisha kazi wkt nasepa...wakachukua maisha...

Sasa dogo unasimulia kwa mbewembwe sana....sema watu wakuunge uchuke maisha full wenzio tuna history ndefu sana hapo.

Sukupenda salary nikasepa kwenda chuo...kuongeza elimu...

Tuliposepa mzee anaulizia vijana wake...
Ndio hivyo maslahi...
Kwa hyo now uko wapi mkuu??
 
Kilo 25 gunia au mfuko,kilo 25 inazidi kidogo tu kwa tofali la nchi 6,au nusu mfuko wa cement,si unanyanyua kwa mkono mmoja.

Mtoa hadithi hebu katisha hii hadithi mara moja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli tozi ndo maana wale wahuni walikuona ni waki tu kule mjengoni
 
Back
Top Bottom