Kabla sijapata ajira kampuni iliyoninyanyasa ndio iliyoniajiri

T11

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
4,914
2,000
Naomba mnisamehe ndugu jamaa na marafiki...kama mnakumbuka siku ambayo natakiwa nilete page ya tatu ndo siku ambayo tuliletewa taarifa ya msiba wa Taifa..!!,tuendelee kujifukiza
Sidhani kama kuna mtu ana shida na mwendelezo

Ni stori isiyo na burudisho wala funzo
 
DIVIDEND

JF-Expert Member
Jan 15, 2017
1,871
2,000
Naomba mnisamehe ndugu jamaa na marafiki...kama mnakumbuka siku ambayo natakiwa nilete page ya tatu ndo siku ambayo tuliletewa taarifa ya msiba wa Taifa..!!,tuendelee kujifukiza
Upumbavu mtupu....
Kajifukize na bibi zako.......
Usilete tena ilo unaloliita page 3, story lenyewe la kishwaini tu...
 
Duduvwili

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
2,308
2,000
Naomba mnisamehe ndugu jamaa na marafiki...kama mnakumbuka siku ambayo natakiwa nilete page ya tatu ndo siku ambayo tuliletewa taarifa ya msiba wa Taifa..!!,tuendelee kujifukiza
Kuna mwana kamalizia kule una maoni gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom