Kabla sijapata ajira kampuni iliyoninyanyasa ndio iliyoniajiri

Mtoto wa kiume una andika mistari miwili una sema uta endelea alaa..leta story haraka

SUBIRI KIDOGO
 
Unajua nini kilifuata baada ya kumaliza kuvaa zile nguo za kazi..??
ITAENDELEA.............

Ungana nami..,
Baada ya kuvaa zile ova roli tukachukuliwa direct hadi kwenye jengo kubwa,
ambalo ndo linatumika kama main hall fuction zote za uzalishaji
kwenye suala zima la unga wa ngano unauona huu wa bakhressa, na huu unga
unasambazwa kwenye mikoa yote na nchi jirani, baada ya kuingia kwenye lile ambalo ukipita
hapa tazara kama unatoka tandika au mbagala kuja buguruni lipo upande wa kushoto jengo refu
la ghorofa ndani ya hili jengo kuna uzalishaji mkubwa sana kiukweli mzee bakhresa amejitaid sana ku-invest kwenye
izi modern machine operator, ni zaidi ya mabilioni ya pesa HONGERA kwake huyu mzee

baada ya kuingia tu mle baadhi ya vijana ambao walikuwa very kwenye segment zao
walishangaa baada ya kukutuona sisi na sana sana mimi,
jinsi nilivyovaa maana nilikuwa smart tofaut na wale nilioingia nao
na bahati mbaya nikaanza kusikia sauti za chini chini
kuhusu mimi kwamba huyu tozi wengine, wakaanza kuniita nyangema
mara mpaka poda, wengine ooh huyu dogo wakishua kaja
kutuchora huku mjengoni kiufupi ni kama jela
but niseme tu ni moja kati ya kampuni ambao inaingiza pato kubwa sana kwa siku
na wanaofaidiika ni wale top leader,huku chini ndo wakina sisi kama vbarua wa siku

basi bana baada ya muda na wale wenzangu kadhaa tukapangiwa seheme zetu
kwa ajili ya kuanza kazi, japo walinidiss sana kutokana na muonekano wangu
wa kuwa smart na kama kijana mwenye vision kwa taifa leo na mwenye hasira
na maisha haya nahisi kama nimechelewa kupiga hatua ndo maana niliamua kwenda kufanya
kazi ngumu kama hii.

JARIBIO LA KWANZA KWANGU BAADA YA KUANZA KAZI
Itaendeleaaaa.......
Mgeni Kama mgeni...
 
Back
Top Bottom