redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,133
- 11,479
Shauri la msingi lillilo jadiliwa Tff ilikua Morrison ana mkataba au hana mkataba? Hukumu ikatolewa na kuonyesha Morrison anao mkataba Yanga ila unamapungufu cha kushangaza kutokana na mapungufu ambayo kwa mujibu wa kamati ni sahihi za viongozi wa Yanga Tff waka uvunja mkataba na Morrison akawa huru.Kutokana na Yanga kukiri jana kuwa walifoji mkataba wa Morrisson msimu uliopita ni dhahiri wanatakiwa kunyang'anywa pointi na hii itapeleke kuweza kushushwa daraja. Ile kamati ililiona hili ila walifichaficha.. Sasa Yanga wanataka Simba akose pointi zake 10 huku wao wakisahau yatakayowakuta.
Shida inakuja mkataba alio saini Simba hauna sahihi za viongozi kama ule wa Yanga. Kwaiyo Yanga wanahaki ya kuhoji ili warudishiwe haki yao ya umiliki wa Morrison au walipwe Ada ya uhamisho mambo yaishe.