Kabla kijana hujalalamika ajira, Je unaaaminika?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,777
102,141

Hii video ni jamaa wa Kenya,anayolalamika ni mambo yanayotokea Tz kwa kiwango kikubwa sana.

Mtakubaliana na mimi kuwa Kundi kubwa la vijana hawaaminiki na kuwapa kazi katika shughuli zetu za ajira binafsi, ujitoe akili.

Nazungumzia ajira ndogo ndogo kama Salon, Mpesa, Duka, shamba, gari, carwash, guest house nk. Unampata kijana wa kumwachia ofisi, anafanya siku 2,3 anakuwa mwizi,hajali wateja.

Kule shamba kijana mwizi anaiba mbolea na mazao. Sijui tunakimbilia wapi!

Kabla ya kijana kulalamikia serikali na matajiri hawatoi ajira, unaaminika?
 
Miaka ya nyuma mother wangu alikuwa ni mjasiriamali alikuwa na duka na ka mgahawa na alikuwa kila mara analalamika vijana anaowaachia mgahama hawapo serious na kazi.

Kijana akipata ajira leo ukampa ki mshahara anaanza kusahau shida,anakuja kanzini kwa kuchekewa na siku nyingine haji
 
Ndani ya miaka 3 jinsi ya kuleta maendeleo na kumaliza tatizo la ajira nchini.

1.Ondoa futa kodi zote za kuingiza magari ya mizigo na abiria nchini kodi yake utaipata mara mbili yake kupitia indirect tax.Kwenye mafuta,leseni za udereva,fine za traffic, parking fee,ushuru wa stand,spare za magari,leseni na vibali mbalimbali.Gari moja uajiri si chini ya vijana 3.

2.Toa ruzuku kwenye viwanda vya kuzalisha matrekta wazalishe matreka mengi waje watuuzie wakulima kwa robo bei trekta moja uajiri zaidi ya watu wanne.

3.Jenga schemes za umwagaliaji KILA kijiji upitapo mto pande zote mbili watu walime mwaka mzima ni aibu sana kwa maji ya mito kumwaga maji yake baharini badala ya mashambani.Soko la mazao nje ya nchi lipo tele

4.Jenga vyuo vya ujuzi kila kata kopesha vijana ujuzi baada ya kumaliza darasa la saba wakapate ujuzi wautakao.

Kukopesha vijana waende chuo kikuu kisha warudi mtaani kuendesha bodaboda na kuwa machinga ni upotevu Mkubwa Sana wa kodi zetu na kuongeza idadi ya masikini nchini.

5.Fungua mipaka watu wauze watakapo nje ya nchi kuna masoko tele.Legeza masharti ya vibali Ili export ikue.

Ni sekta mbili tu zingine takataka hazifikii kilimo na madini kwa kuajiri vijana wote nchini na kuongeza pato la taifa bila kutegemea kukopa na kukamua kodi wananchi.

6.Peleka KILA kijiji mashine za kutengeneza interlocking block na vigae Ili watz wote wajenge nyumba bora kwa gharama nafuu kabisa

Mjerumani kwa miaka 15 alituletea maendeleo makubwa Sana ccm imeshindwa nini.
 
Hii imekaa safi sana mkuu ungeifungulia uzi watu wapate kujifunza
 
View attachment 1941527
Hii video ni jamaa wa Kenya,anayolalamika ni mambo yanayotokea Tz kwa kiwango kikubwa sana.

Mtakubaliana na mimi kuwa Kundi kubwa la vijana hawaaminiki na kuwapa kazi katika shughuli zetu za ajira binafsi, ujitoe akili.

Nazungumzia ajira ndogo ndogo kama Salon, Mpesa, Duka, shamba, gari, carwash, guest house nk. Unampata kijana wa kumwachia ofisi, anafanya siku 2,3 anakuwa mwizi,hajali wateja.

Kule shamba kijana mwizi anaiba mbolea na mazao. Sijui tunakimbilia wapi!

Kabla ya kijana kulalamikia serikali na matajiri hawatoi ajira, unaaminika?
Ni kweli watanzania hawaaminiki, wewe hata house boy tu ukimwacha nyumbani peke yake atabaka mbwa wako ama uwafugao. Yaani sijuwi tuna laana gani asse.
 
Ndani ya miaka 3 jinsi ya kuleta maendeleo na kumaliza tatizo la ajira nchini.

1.Ondoa futa kodi zote za kuingiza magari ya mizigo na abiria nchini kodi yake utaipata mara mbili yake kupitia indirect tax.Kwenye mafuta,leseni za udereva,fine za traffic, parking fee,ushuru wa stand,spare za magari,leseni na vibali mbalimbali.Gari moja uajiri si chini ya vijana 3.

2.Toa ruzuku kwenye viwanda vya kuzalisha matrekta wazalishe matreka mengi waje watuuzie wakulima kwa robo bei trekta moja uajiri zaidi ya watu wanne.

3.Jenga schemes za umwagaliaji KILA kijiji upitapo mto pande zote mbili watu walime mwaka mzima ni aibu sana kwa maji ya mito kumwaga maji yake baharini badala ya mashambani.Soko la mazao nje ya nchi lipo tele

4.Jenga vyuo vya ujuzi kila kata kopesha vijana ujuzi baada ya kumaliza darasa la saba wakapate ujuzi wautakao.

Kukopesha vijana waende chuo kikuu kisha warudi mtaani kuendesha bodaboda na kuwa machinga ni upotevu Mkubwa Sana wa kodi zetu na kuongeza idadi ya masikini nchini.

5.Fungua mipaka watu wauze watakapo nje ya nchi kuna masoko tele.Legeza masharti ya vibali Ili export ikue.

Ni sekta mbili tu zingine takataka hazifikii kilimo na madini kwa kuajiri vijana wote nchini na kuongeza pato la taifa bila kutegemea kukopa na kukamua kodi wananchi.

6.Peleka KILA kijiji mashine za kutengeneza interlocking block na vigae Ili watz wote wajenge nyumba bora kwa gharama nafuu kabisa

Mjerumani kwa miaka 15 alituletea maendeleo makubwa Sana ccm imeshindwa nini.
Mawazo mazuri big up sana I wish wenye mamlaka wangekuwa na mawazo kama haya tungepiga hatua japo kidogo
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom