Kabla hujaoa, Tazama tafadhali... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabla hujaoa, Tazama tafadhali...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ab-Titchaz, Jun 6, 2009.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jun 6, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Woman has 200 orgasms a day.
  Sarah, 24, suffers from Permanent Sexual Arousal Syndrome


  [​IMG]

  PRETTY Sarah Carmen is a 200-a-day orgasm girl who gets good, good, GOOD vibrations from almost anything
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Supermod SIJAKUSOMA KABISA!
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Je kuna ubaya gani? Sii poa???
   
 4. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Miaka ya themanini mwishoni kule TMK karibu na Pile bar kulikuwa na Mwanaume wa namna hiyo kutwa mara tatu na haijulikani alikuwa anapiga goli ngapi. hali hiyo ilisababisha kuwa ankimbiwa na wanawake.

  Hivyo mi nadhani ni bora kabla ya kuoana, mkacchukua tahadhari ili ndoa isije kuwa ndoana, na wala sio wanaume tu, kwani hali hiyo ni matatizo yanayowakuta watu bila kujali jinsi (sex).
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kuna Doc, yake niliiona hivi karibuni...!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Huyo muache tu na umuombee maana hakuomba aisee, hata akitembea tu anapata kamoja. naskia kuna lesion kwenye ubongo, wanaiita singulate gyrus kama sikosei, ni disorder inayoongeza hamu ya nanihii!!

  Kaazii kwelikweli ukioa kama huyo
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  mna mawasiliano nae huyo mtu, kuna jamaa yangu nahisi wataendana sana na huyo
   
 8. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaaaaaaaaaaaa, mkuu huyo wala hahitaji mwanaume, maana yeye kiku chochote tu kinamfikisha sasa akikutana na mwanaume anaweza zimia. LoL!
   
 9. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #9
  Jun 8, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  MTM,

  Nimekubali mwanasayansi mwenzangu...eti hata akitembea anapata kamoja..duh!BTW spelling yake ni Cingulate gyrus.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Usiombe dhahma lile likushukie ewe mwanaume, unaweza fakamia hadi kuku!!! I hope huyo mama anatembea na pampers na anapambana sana na dehydration, maana ile hanjam si inaambatana na maji kupotea japo kwa matone!!???
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mie heading na maelezo ndani sijaelewa hata kidogo
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Ni kwamba huyo mwanamke ana uwezo wa kufikia kilele mara 200 kwa siku.

  Kwahiyo kama mwanaume ni mchovu, atakuponda kinyama.
  Sa kwa mtu kama mimi ambae nikipata ki1 au vi2, niko choka sijui itakuwaje! lol!
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,638
  Trophy Points: 280
  Hapo itabidi tuunganishe nguvu za wanamaombi chini ya mchungaji wetu. Ab-Titchaz, Contacts zake please. Worth trying.
   
 14. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hamna shida yeyote hapo itabidi uanze nae mbali mpaka uhakikishe amefikisha 199 ,ila sijapata maelezo zaidi hizo mia mbili ni kama zile selasininasita za nguruwe ? Au inabidi kila baada ya muda ,yaani zinakuja 200 kwa pamoja au kila baada ya masaa mananenanusu ndio anaweza kuongeza number ?
   
 15. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #15
  Dec 13, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  eti hata akitembea tu anapata kamoja faster faster....
   
 16. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #16
  Dec 13, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Waumini husema: Be thankful for what you have got !!
   
 17. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #17
  Dec 13, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Usiwe na hofu PJ, tumeambiwa kwamba yeye (mwanamke) anauweza wa kushambulia mara 200 kwa mwanamume hii sio shida kwamba wewe unaweza kukomaa na mechi moja ndeefu yeye akamaliza hesabu yake.
  Ingawa ofcourse msuli unatakiwa.
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2009
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  anaweza kukuua!!!!!!
   
 19. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu huyo demu ni noma yani ukimpata huyo inabidi upigwe dripu ya glucose nonstop la sivyo ataua bendi!

  Ila nimeona kama wanasema anapata arousal from anything with vibration, ukishindwa kazi inabidi utumie nyenzo zingine ha ha haaaaa...
   
 20. g

  goodboy1976 Member

  #20
  Dec 15, 2009
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anatisha huyu
   
Loading...