Kabla hujanuna mimi kuwa na mke wa pili jiulize baba yako mzazi aliweza kuishi na mke mmoja?

Kama umewahi kufuga, iwe mbuzi au kuku... unazingatia nini ratio ya madume na majike!

Uliona wapi jike moja kupandwa na madume wengi?

Kalagabaho.
Bira shaka utakua unafuga njiwa wewe au haupo makini na mifugo yako. Anza tena kufanya utafiti wako kwanzia hapo nyumbani mpaka uko unapoenda kuwachunga kisha ndio uje
 
Acha kurukaruka, jibu maswali yangu hapo juu... iwe ni kwa njiwa hata ng’ombe!

Dume moja majike mangapi kwa wastani?

cc: Mgonga Like
Jike moja anaweza pandwa na madume yote ya kwako na jirani. Huo wastani unautafuta ndio muendelezo wa mfumo dume. Kama unaweza panda kumi hata yeye anaweza pandwa na kumi shida iko wapi
 
Jike moja anaweza pandwa na madume yote ya kwako na jirani. Huo wastani unautafuta ndio muendelezo wa mfumo dume. Kama unaweza panda kumi hata yeye anaweza pandwa na kumi shida iko wapi

Nishajua unasumbuliwa na wivu, nimekupa mfano wa viumbe tofauti na binadamu... unaleta habari za mfumo dume!

Nyie wanawake mkishapata tu mnasahau mlikesha kwa waganga, mnasahau kuna wenzenu bado wanakesha kusubiri wapate mume... roho mbaya tu!
 
Utapata like nyingi za ke hapa!

Hahaaa
Mzee ebu ongelea familia yako, nyie ndio mnatujaza lawama wanaume wote kwa kushindwa kuzuia tamaa zenu za mwili. Ni upunguani tu sijawai kuona cha tofauti nitakacho kipata ambacho mke wangu hanipi! Mmejaza bongo zenu upumbavu wa kushadadia makalio na mifadhaiko ya chuchu dede ila unachofata ni ch#@@$ u ile ile tu.

Ukijaza bongo zako tamaa hakika utawaka tamaa tu hata uyo mke wapili utaketaka kuoa huto ridhikanae. Ila ukiamin mmoja anatosha hakika hatatisha. Ukiona cha nje kinapendeza zaidi kuliko mmkeo makosa niyako mmpendezeshe mkeo uone kama hato nona kama hao wa nje!
 
Nishajua unasumbuliwa na wivu, nimekupa mfano wa viumbe tofauti na binadamu... unaleta habari za mfumo dume!

Nyie wanawake mkishapata tu mnasahau mlikesha kwa waganga, mnasahau kuna wenzenu bado wanakesha kusubiri wapate mume... roho mbaya tu!
Dah! Mzee mie dume
 
Uwa nawashangaa sana wanawake ukizungumzia swala la kuoa mke wa2 inakuwa kesi nzito... wakati yeye amezaliwa na mke 2 au kimada wa baba ake enzi hizo...

Kwa mwanaume aliyekamilika ni ngumu sna kama unabisha think about your dad...je mmezaliwa wote mama mmoja?

Tafakar!

Sasa ww kuoa mke wa pili na baba yake mwanamke kunahusiana nini?? Kama yeye alikua kahaba na wewe ndo unataka uwe kama baba mkwe wako au?!

Angekua anamtaka baba yake angeolewa nae lkn wewe sio baba yake usifananishe vitu havina hata uhusiano... na usiulize maswali kama mtu umekatwa kichwa
 
Jike moja anaweza pandwa na madume yote ya kwako na jirani. Huo wastani unautafuta ndio muendelezo wa mfumo dume. Kama unaweza panda kumi hata yeye anaweza pandwa na kumi shida iko wapi
Wewe kama unaongeza mke wa pili ongeza usitafute justification
Wanaume hata asipo oa mke wa pili , lakini kutembeza dudu kwa Siri kupo pale pale, mpaka vitoto vya Siri vinatokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili ni tamko kutoka tawi gani la CHACHAWADU???

maana matawi ni mengi,msimamo ambao tunakubaliana matawi yote katika umoja wetu ni huu,hairuhusiwu mwanamke kuhisi,kuona au kuwa na wasi wasi una mwanamke mwingine.na kama itatokea ni marufuku kukubali,hata kama umeshikwa guest live sema alikuteka.
Umenikumbusha chuoni na sheria zao... sheria inasema hairuhusiwi kugoma wala kuonesha dalili za kugoma! Ebwana wee yaani dalili tu eti ni kosa basi washkaji wakawa wanaleta utani sana kupitia kauli hiyo
 
Kama umewahi kufuga, iwe mbuzi au kuku... unazingatia nini ratio ya madume na majike!

Uliona wapi jike moja kupandwa na madume wengi?

Kalagabaho.
Anajua ila basi tu au hajui lolote kabisa... ni mwendo uleule hata mfugaji anauza madume karibu yote na anabakiza kadhaa tu maana anajua kabisa madume yakiwa mengi hayatapata haki zao vilivyo. Kwa mfano wafugaji wa kuku wanakwambia kwa wastani kuku kumi wanatakiwa kuhudumiwa (kupandwa) na jogoo mmoja

Jinga mwingine atakuja kusema nisifananishe watu na wanyama basi namchunguliaaa nabaki kucheka tu
 
Apo Ukiweke majogoo wawili inakuwa vita
 
Back
Top Bottom