Hizi CIF za kwenye calculator ndio zinatumika au TRA wanatumia CIF za kwenye Bill of Lading? Hizo calculator zao wanawekaga CIF ndogo sana mfano hiyo Harrier ukipata ya hiyo bei lazima iwe imechoka sanaHabari Mck,
Kwa mujibu wa tra calculator
Ushuru wa gari yako ni 11,029,645.19
Na bei ya kuifikisha gari hadi bandari ya Da es salaam, kwa sawa sawa na screenshot yako ni
10,742,976....
Ndio maana tumeuliza, TRA wanafuata hiyo calculator au CIF iliyopo kwenye Bill of Lading? Ukitumia hiyo calculator utapata gharama kidogo ila kama documents zako zinaonyesha umenunua hiyo gari kwa bei zaidi ya hiyo kwenye Calculator yao wanabadilisha gharama..Habari ndugu,
Calculator inafanya kazi sawia kabisa .. na ndio hiyo tunayoitumia.
Lakini, elewa kwamba, baada ya ushuru, kuna gharama zingine za bandari n.k...
Ndio maana tumeuliza, TRA wanafuata hiyo calculator au CIF iliyopo kwenye Bill of Lading? Ukitumia hiyo calculator utapata gharama kidogo ila kama documents zako zinaonyesha umenunua hiyo gari kwa bei zaidi ya hiyo kwenye Calculator yao wanabadilisha gharama..
Mi nauliza gari kama Isuzu Bighorn au Wizard zinazotumia dizel automatuc Je vp gharama za uendeshaj hasa mafuta na Je vp spear zake znapatikan kirahis.Habari za muda huu,
Pamekua na thread nyingi sana za watu kuomba ushauri/ elimu hasa kwenye suala zima la budget halisi/ kamili ambayo mtu anahitaji kuwa nayo kuweza kumiliki gari...
Habari za muda huu,
Pamekua na thread nyingi sana za watu kuomba ushauri/ elimu hasa kwenye suala zima la budget halisi/ kamili ambayo mtu anahitaji kuwa nayo kuweza kumiliki gari.
Kwa bahati mbaya, wengi wamekua wakipewa gharama kubwa tofauti na uhalisia hiyo yote kwasababu hawajui...!
Hapa ujaeleweka vizuri mkuu unaweza andika vizuri tukakuelewa, samahani lknWanatumia iliyo kwenye BL..na hapa watu wengi huwa hawaahamu mwanzoni, inakuwa kama surprise hivi
Ahsante mzee
Hapo unamaanisha kama ulibargain na wajapan wakakupunguzia bei?Wanatumia iliyo kwenye BL..na hapa watu wengi huwa hawaahamu mwanzoni, inakuwa kama surprise hivi
1.Used 2002 TOYOTA COROLLA SPACIO V LIMITED/TA-NZE121N for Sale BH405186 - BE FORWARDLengo la hii thread mzee,
Nikusaidia watu wote ... kama unaweza kusoma vizuri hapo kaka, nilitoa wito kwa anaefahamu vingine ambavyo sifahamu ama sijaweka, naomba aweke/aongezee
Nilisahau kuweka shipping line, ni kweli.. unaweza kusaidia kuongezea kaka
Habari za muda huu,
Pamekuwa na thread nyingi sana za watu kuomba ushauri/ elimu hasa kwenye suala zima la budget halisi/ kamili ambayo mtu anahitaji kuwa nayo kuweza kumiliki gari..!
Nchi ina mambo ya kifala sana hii.T1986MCK,
Habari Mck,
Kwa mujibu wa TRA calculator
Ushuru wa gari yako ni 11,029,645.19
Na bei ya kuifikisha gari hadi bandari ya Da es salaam, kwa sawa sawa na screenshot yako ni 10,742,976.
11,029,645.19 (Ushuru)...
No, namaamisha watu wengi wanajua ghrama ya kodi ni ile ya kwenye jedwari la TRA (which is not true). Gharama halisi ya kodi inatokana na bei uliyonunulia gari ambayo inaonekana kwenye BL document.Hapo unamaanisha kama ulibargain na wajapan wakakupunguzia bei?
Unataka kuniambia kuwa like kikokoteo cha tra sio bei halisi? So kwanini kimewekwa pale?No, namaamisha watu wengi wanajua ghrama ya kodi ni ile ya kwenye jedwari la TRA (which is not true). Gharama halisi ya kodi inatokana na bei uliyonunulia gari ambayo inaonekana kwenye BL document.
Sawa mkuu nimekuelewa but hiyo calculator si unajaza full description ya hilo gari, sasa iweje bei ibadilke?Hujamuelewa jamaa. Mfano gari umenunua Japan, gharama za kununua hadi Usafiri kufika Dar yaani CIF, TRA wanakadiria itakuwa ni dollar 10,000 hivyo yale makadirio ya ushuru ni ya kiasi hicho walichokadiria. Ikiwa utanunua gari hiyohiyo na kufika Dar kwa labda dola 15,000 ina maana utapata ushuru kutokana na bei hiyo ya dollar 15,000 na si 10,000 kama calculator inavyokadiria. Ili upate benefit ya makadirio, hakikisha wanunua gari kwa thamani isiyozidi makadirio ya CIF ya TRA. Wazoefu watasema.