Kabila teule....

Hee naona watu wamehamaki na wameanza kunishambulia kwa kejeli nyingi, mbona hamsomi vizuri kile nilichokiandika kwa makini mnasoma juu juu tuu, mimi nilichopendekeza ni kitu cha kawaida kabisa na hili inahusiana na uzoefu wangu na hawa watu wa mkoa wa kilimanjaro kwamba ni watu wa maendeleo sana na mkoa wao pekee ndio unaongoza kwa maendeleo tz kuliko mikoa yoote na hata ukienda arusha au dar na ukaangaalia maendeleo makubwa yanasimamiwa na hawa watu, hivyo basi nikaona kwamba hawa watu wana kitu cha pekee ambacho makabila mengine hawana, sasa kuna ubaya gani kama tukijifunza kutoka kwao??
na watu wanaonipinga na kunitukana napenda mnijibu swali moja kutokana na takwimu za serikali zaidi ya nusu nzima ya watz ni masikini wa kupindukia, Je kama mikoa yoote ya tz ingekuwa kama kilimanjaro kimaendeleo hamuoni kwamba hiyo idadi ya umaskini ingepungua kwa asilimia kubwa? na kama jibu ni ndio nini sababu hasa?
Wafanya biashara wengi maarufu dar ni watu wa kilimanjaro swali Je ni kwa nini? ni lazima kuna kitu kuhusu wao... mimi nimekaa kwa miaka miwili kule moshi vijijini leo hii kupata ardhi ya kununua ni kitu ambacho karibu hakiwezekani hii inamaanisha kuwa ardhi karibu yote inatumika sio tuu kwa chakula cha nyumbani bali kibishara pia, wakati nikienda kwetu tabora mpaka leo unaweza hata ukapata ardhi ya heka 10 000 na sio tabora tuu bali karibu mikoa yote ya tz bara unguja na pemba sijafika kwa hiyo siwezi kuongelea.. hata iringa na mbeya mimi pia nimefika na bishara zote kama hazifanywi na waburushi basi zinafanywa na wachaga...
sasa swali ni kwa nini waweze kuwa na mafanikio zaidi....
kama nchi nyingi zinzifunza kutoka nchi nyingine kitu ambacho sio rahisi...na sisi tumepata bahati ya kuwa na watu ambao wanaweza wakatufundisha mambo ya kimaendeleo na wapo nchini mwetu sasa kwanini tusiwatumie? tatizo lipo wapi?
 
kufilisika kwa hoja hujitokeza pale mtu anapowaza ukabila, udini hata uzawa....
 
Nini wewe Msanii, hakuna udini hapo jibu kwa nini hawa jamaa wanafanikiwa kibiashara? na hicho ndicho kichocheo cha hayo maendeleo yao kwani wana pesa!!

wewe Kithuku kwa nini usiwe kasuku? Wewe unaonesha ujuha halisi yaani genuine, siyo feki.

We Ndugu shauri yako.
 
uteule wa nini? au wameteuliwa kuwa taifa teule la Mungu? usisahau kuwa hawa walipata opprtunity ambayo wengine hawakuipata, kama wamisionary wa kwanza hawakuenda kule na kujenga mashule, labda na wao wangekuwa akina yahe. isitoshe siyo wote hawajambo, kuna kina mangi choka mbaya wee acha tu. la msingi kila mtu apate fursa sawa taifa lisonge mbele. hakuna cha mzanaki wala mkurya, nchi hii ni moja
 
Umenena Mwikimbi.
 
Kuhusu kabila teule hapa naongelea WACHAGA, mimi ninafikiri au ninapendekeza kuwa hili kabila lipewe haki ya kikatiba ya kutawala Tanzania ktk nyanja zoote za nchi yetu kwa muda fulani...ili waweze kufundisha makabila mengine kuhusu mambo ya kimaendeleo.. pendekezo langu hili linatokana na utafiti wangu (wa kienyeji /sio rasmi) nilioufanya kuhusu hawa watu na kungundua kwamba wana utamaduni tofauti sana ukilinganisha na makabila mengine ya nchi yetu, na utamaduni wao umeelekea zaidi ktk mambo ya kimaendeleo kuliko makabila mengine mfano mdogo tuu ni kwenye elimu wakati wa nyerere ambaye hakuweza kujenga shule yeyote ile ya sekondari ktk kipindi chote alichokaa madarakani, lkni hawa watu wachaga walikuwa wanajenga shule za wazazi ambapo wazazi walikuwa wanalazimka kuchangia na matokeo yake tuliyaona kwamba pamoja na siasa za nyerere watu hawa bado walifanikiwa sana ktk kujenga shule nyingi... pia kingine ni mafanikio ya hawa watu ya kimaendeleo popote pale walipo ktk nchi yetu, kwani ushahidi wangu unaonyesha kwamba ktka kila ncha ya nchi yetu niliyotembelea na niliwakuta hawa watu kuanzia nyumbani asilia kwa wazazi wangu tabora vijijini mpaka sumbawanga na kila nilipowakuta walikua wamefanikiwa zaidi kuliko wenyeji kimaendeleo na woote tunawaita mangi...
Pia ukienda mkoa wao kwa kweli unavutia jinsi ulivyopambwa kwa maua mazuri hata vijijini kwao wameweza kujenga nyumba bora pamoja na miundo mbinu imara ukilinganisha na makabila mengine.. kwa hiyo kutokana na hiyo mifano michache mimi nafikiri kuna kitu maalaumu ambacho hawa wau wanacho na makabila mengine wamekosa na hivyo naona haitakuwa vibaya kama tukiwabidhi nchi na kutufundisha utamaduni wao kwani unaonekana ni wa kimaendeleo.....
usione mbachao kwa mswala upitao
 
Huko kuwaacha wake zao na kisha wanawakuta wana watoto na baba wa watoto hao ni mtu wao wa karibu tena wasiostahili kuzaa nao je huo nao ni uteule???????
 
Hee naona watu wamehamaki na wameanza kunishambulia kwa kejeli nyingi, mbona hamsomi vizuri kile nilichokiandika kwa makini mnasoma juu juu tuu, mimi nilichopendekeza ni kitu cha kawaida kabisa na hili inahusiana na uzoefu wangu na hawa watu wa mkoa wa kilimanjaro kwamba ni watu wa maendeleo sana na mkoa wao pekee ndio unaongoza kwa maendeleo tz kuliko mikoa yoote na hata ukienda arusha au dar na ukaangaalia maendeleo makubwa yanasimamiwa na hawa watu, hivyo basi nikaona kwamba hawa watu wana kitu cha pekee ambacho makabila mengine hawana, sasa kuna ubaya gani kama tukijifunza kutoka kwao??
na watu wanaonipinga na kunitukana napenda mnijibu swali moja kutokana na takwimu za serikali zaidi ya nusu nzima ya watz ni masikini wa kupindukia, Je kama mikoa yoote ya tz ingekuwa kama kilimanjaro kimaendeleo hamuoni kwamba hiyo idadi ya umaskini ingepungua kwa asilimia kubwa? na kama jibu ni ndio nini sababu hasa?
Wafanya biashara wengi maarufu dar ni watu wa kilimanjaro swali Je ni kwa nini? ni lazima kuna kitu kuhusu wao... mimi nimekaa kwa miaka miwili kule moshi vijijini leo hii kupata ardhi ya kununua ni kitu ambacho karibu hakiwezekani hii inamaanisha kuwa ardhi karibu yote inatumika sio tuu kwa chakula cha nyumbani bali kibishara pia, wakati nikienda kwetu tabora mpaka leo unaweza hata ukapata ardhi ya heka 10 000 na sio tabora tuu bali karibu mikoa yote ya tz bara unguja na pemba sijafika kwa hiyo siwezi kuongelea.. hata iringa na mbeya mimi pia nimefika na bishara zote kama hazifanywi na waburushi basi zinafanywa na wachaga...
sasa swali ni kwa nini waweze kuwa na mafanikio zaidi....
kama nchi nyingi zinzifunza kutoka nchi nyingine kitu ambacho sio rahisi...na sisi tumepata bahati ya kuwa na watu ambao wanaweza wakatufundisha mambo ya kimaendeleo na wapo nchini mwetu sasa kwanini tusiwatumie? tatizo lipo wapi?

THIS REALLY PUT OFF SERIOUS READERS... SLOWLY JF IS TURNED INTO DARHORTWIRE
 
Kuhusu kabila teule hapa naongelea WACHAGA, mimi ninafikiri au ninapendekeza kuwa hili kabila lipewe haki ya kikatiba ya kutawala Tanzania ktk nyanja zoote za nchi yetu kwa muda fulani...ili waweze kufundisha makabila mengine kuhusu mambo ya kimaendeleo.. pendekezo langu hili linatokana na utafiti wangu (wa kienyeji /sio rasmi) nilioufanya kuhusu hawa watu na kungundua kwamba wana utamaduni tofauti sana ukilinganisha na makabila mengine ya nchi yetu, na utamaduni wao umeelekea zaidi ktk mambo ya kimaendeleo kuliko makabila mengine mfano mdogo tuu ni kwenye elimu wakati wa nyerere ambaye hakuweza kujenga shule yeyote ile ya sekondari ktk kipindi chote alichokaa madarakani, lkni hawa watu wachaga walikuwa wanajenga shule za wazazi ambapo wazazi walikuwa wanalazimka kuchangia na matokeo yake tuliyaona kwamba pamoja na siasa za nyerere watu hawa bado walifanikiwa sana ktk kujenga shule nyingi... pia kingine ni mafanikio ya hawa watu ya kimaendeleo popote pale walipo ktk nchi yetu, kwani ushahidi wangu unaonyesha kwamba ktka kila ncha ya nchi yetu niliyotembelea na niliwakuta hawa watu kuanzia nyumbani asilia kwa wazazi wangu tabora vijijini mpaka sumbawanga na kila nilipowakuta walikua wamefanikiwa zaidi kuliko wenyeji kimaendeleo na woote tunawaita mangi...
Pia ukienda mkoa wao kwa kweli unavutia jinsi ulivyopambwa kwa maua mazuri hata vijijini kwao wameweza kujenga nyumba bora pamoja na miundo mbinu imara ukilinganisha na makabila mengine.. kwa hiyo kutokana na hiyo mifano michache mimi nafikiri kuna kitu maalaumu ambacho hawa wau wanacho na makabila mengine wamekosa na hivyo naona haitakuwa vibaya kama tukiwabidhi nchi na kutufundisha utamaduni wao kwani unaonekana ni wa kimaendeleo.....

NI KWELI KABISA NAKUBALIANA NA MANENO YAKO MAANA TUMEONA MFANO WA MAMA MKAPA, NA MRAMBA KWA UCHACHE WAKE.
 
Ifungwe tu hii thread its one and the only worst thread I have seen in JF
please mods kindly do the needful.Week end njema
 
Hee naona watu wamehamaki na wameanza kunishambulia kwa kejeli nyingi, mbona hamsomi vizuri kile nilichokiandika kwa makini mnasoma juu juu tuu, mimi nilichopendekeza ni kitu cha kawaida kabisa na hili inahusiana na uzoefu wangu na hawa watu wa mkoa wa kilimanjaro kwamba ni watu wa maendeleo sana na mkoa wao pekee ndio unaongoza kwa maendeleo tz kuliko mikoa yoote na hata ukienda arusha au dar na ukaangaalia maendeleo makubwa yanasimamiwa na hawa watu, hivyo basi nikaona kwamba hawa watu wana kitu cha pekee ambacho makabila mengine hawana, sasa kuna ubaya gani kama tukijifunza kutoka kwao??
na watu wanaonipinga na kunitukana napenda mnijibu swali moja kutokana na takwimu za serikali zaidi ya nusu nzima ya watz ni masikini wa kupindukia, Je kama mikoa yoote ya tz ingekuwa kama kilimanjaro kimaendeleo hamuoni kwamba hiyo idadi ya umaskini ingepungua kwa asilimia kubwa? na kama jibu ni ndio nini sababu hasa?
Wafanya biashara wengi maarufu dar ni watu wa kilimanjaro swali Je ni kwa nini? ni lazima kuna kitu kuhusu wao... mimi nimekaa kwa miaka miwili kule moshi vijijini leo hii kupata ardhi ya kununua ni kitu ambacho karibu hakiwezekani hii inamaanisha kuwa ardhi karibu yote inatumika sio tuu kwa chakula cha nyumbani bali kibishara pia, wakati nikienda kwetu tabora mpaka leo unaweza hata ukapata ardhi ya heka 10 000 na sio tabora tuu bali karibu mikoa yote ya tz bara unguja na pemba sijafika kwa hiyo siwezi kuongelea.. hata iringa na mbeya mimi pia nimefika na bishara zote kama hazifanywi na waburushi basi zinafanywa na wachaga...
sasa swali ni kwa nini waweze kuwa na mafanikio zaidi....
kama nchi nyingi zinzifunza kutoka nchi nyingine kitu ambacho sio rahisi...na sisi tumepata bahati ya kuwa na watu ambao wanaweza wakatufundisha mambo ya kimaendeleo na wapo nchini mwetu sasa kwanini tusiwatumie? tatizo lipo wapi?

Nimeshangazwa na matusi yaliyotolewa hapa. Was that necessary!??
The response from some of you guys was very inappropriate and a bad spirit to the forum. You might find yourselves someday using the same tone towards your kids.

Hali kadhalika, kumwambia mwenzio kafilisika kifikra sio namna muafaka ya ku-debate au kujibu hoja. State your facts and let the readers make up their own opinions.

Likizungumzwa jambo lenye elements ya ukabila tuchukulie hiyo kama changamoto na kujiuliza maswali kwa upana zaidi.
Wapo viongozi waliosema isiruhusiwe kiti cha uraisi kushikwa na mtu yeyote toka "makabila popular" Tanzania. Mtu mwenye fikra kama hizo leo hii ntamfananisha na "wazee wa shortcuts" wasiopanua mawazo kufikiri njia mbadala kukabiliana na challenge zinazoweza kujitokeza.

Kuhusu swali lako kijakazi,

Kilimanjaro nimekaa kwa muda kiasi.
Moja ya sababu ninayoifahamu ni kuwa Wajerumani enzi za ukoloni walitawala sehemu kadhaa za uchagani. Wajerumani ni wachapa kazi, kilichotokea ni wachaga kuambukizwa hiyo desturi.
Wazee wa kichaga walikuwa na msimamo kwenye hili na ndio maana wachaga walio wengi hawajui kucheza mpira maana wazee hawakuruhusu watoto kupoteza muda mwingi, badala yake walisisitiza kufanya kazi kwa bidii.
Utaona pia kwamba desturi kama kucheza ngoma ni nadra uchagani.

Mambo yamebadilika sasa, mengi yametokea na hii leo uchapaji kazi umeanza kupungua. Vijana huko uchagani wamebaki kunywa pombe siku hizi, ila nadhani hili ni la mpito.

Tuwe waungwana kwenye majadiliano, vinginevyo hata newcomers (newbies) wataghairi kujiunga na JF. Kama thread imeendelea kuwepo, haijawa deleted, ni busara kumnyamazisha mtoa hoja?

.
 
Mod: Shimbonyi shafoo Mbe!!!!! Inabidi nimsalimie kwa lugha hii ya hilo "kabila teule" Maana tumemuomba afunge hii thread bila mafanikio, sisi JF tunapenda sana kuuzika ukabila.
Mod: Njienda kanyi Mbe!!!
 
Nimeshangazwa na matusi yaliyotolewa hapa. Was that necessary!??
The response from some of you guys was very inappropriate and a bad spirit to the forum. You might find yourselves someday using the same tone towards your kids.

Hali kadhalika, kumwambia mwenzio kafilisika kifikra sio namna muafaka ya ku-debate au kujibu hoja. State your facts and let the readers make up their own opinions.

Likizungumzwa jambo lenye elements ya ukabila tuchukulie hiyo kama changamoto na kujiuliza maswali kwa upana zaidi.
Wapo viongozi waliosema isiruhusiwe kiti cha uraisi kushikwa na mtu yeyote toka "makabila popular" Tanzania. Mtu mwenye fikra kama hizo leo hii ntamfananisha na "wazee wa shortcuts" wasiopanua mawazo kufikiri njia mbadala kukabiliana na challenge zinazoweza kujitokeza.

Kuhusu swali lako kijakazi,

Kilimanjaro nimekaa kwa muda kiasi.
Moja ya sababu ninayoifahamu ni kuwa Wajerumani enzi za ukoloni walitawala sehemu kadhaa za uchagani. Wajerumani ni wachapa kazi, kilichotokea ni wachaga kuambukizwa hiyo desturi.
Wazee wa kichaga walikuwa na msimamo kwenye hili na ndio maana wachaga walio wengi hawajui kucheza mpira maana wazee hawakuruhusu watoto kupoteza muda mwingi, badala yake walisisitiza kufanya kazi kwa bidii.
Utaona pia kwamba desturi kama kucheza ngoma ni nadra uchagani.

Mambo yamebadilika sasa, mengi yametokea na hii leo uchapaji kazi umeanza kupungua. Vijana huko uchagani wamebaki kunywa pombe siku hizi, ila nadhani hili ni la mpito.

Tuwe waungwana kwenye majadiliano, vinginevyo hata newcomers (newbies) wataghairi kujiunga na JF. Kama thread imeendelea kuwepo, haijawa deleted, ni busara kumnyamazisha mtoa hoja?

.

Well said kabisa. Watu wasipokubaliana na mawazo fulani wanakimbilia kufuta thread. Nadhani thats unfair. Ukweli ni kwamba huwezi panda mabua ukavuna mihogo. Wachaga wanachakalika sana, so yale mazuri tujifunze, ila yale ya kunywa mbege mpaka asubuhi..Mmmhhhh..

Lastly Lazydog...mi nasoma michango yako hapa JF..so who am I? that was a question of your signature! Nipe jibu..hahaha
 
Kumbukeni "Thread hii ni ya JOKES/UTANI" Kwa hiyo vinavyoongelewa humu ndani ni jokes ama utani. Kwa hiyo huyu Mod, akiambiwa afute anataniwa tu si kweli, hata hao wanaoitwa ni Kabila teule wanataniwa tu si kweli. Jamani tunataniana tu!!!!!!!!!!
 
Nimeshangazwa na matusi yaliyotolewa hapa. Was that necessary!??
The response from some of you guys was very inappropriate and a bad spirit to the forum. You might find yourselves someday using the same tone towards your kids.

Hali kadhalika, kumwambia mwenzio kafilisika kifikra sio namna muafaka ya ku-debate au kujibu hoja. State your facts and let the readers make up their own opinions.

Likizungumzwa jambo lenye elements ya ukabila tuchukulie hiyo kama changamoto na kujiuliza maswali kwa upana zaidi.
Wapo viongozi waliosema isiruhusiwe kiti cha uraisi kushikwa na mtu yeyote toka "makabila popular" Tanzania. Mtu mwenye fikra kama hizo leo hii ntamfananisha na "wazee wa shortcuts" wasiopanua mawazo kufikiri njia mbadala kukabiliana na challenge zinazoweza kujitokeza.

Kuhusu swali lako kijakazi,

Kilimanjaro nimekaa kwa muda kiasi.
Moja ya sababu ninayoifahamu ni kuwa Wajerumani enzi za ukoloni walitawala sehemu kadhaa za uchagani. Wajerumani ni wachapa kazi, kilichotokea ni wachaga kuambukizwa hiyo desturi.
Wazee wa kichaga walikuwa na msimamo kwenye hili na ndio maana wachaga walio wengi hawajui kucheza mpira maana wazee hawakuruhusu watoto kupoteza muda mwingi, badala yake walisisitiza kufanya kazi kwa bidii.
Utaona pia kwamba desturi kama kucheza ngoma ni nadra uchagani.

Mambo yamebadilika sasa, mengi yametokea na hii leo uchapaji kazi umeanza kupungua. Vijana huko uchagani wamebaki kunywa pombe siku hizi, ila nadhani hili ni la mpito.

Tuwe waungwana kwenye majadiliano, vinginevyo hata newcomers (newbies) wataghairi kujiunga na JF. Kama thread imeendelea kuwepo, haijawa deleted, ni busara kumnyamazisha mtoa hoja?

.
lazydog kwanza asante kwa ujumbe wako kwa watu woote wenye tabia ambayo hata wewe umeiona ktk bodi hii....
sasa kuja ktk jibu lako mimi sikubaliana na wewe ktk hilo ya kwamba wachaga ni wachapa kazi kwa ajili ya kutawaliwa na wajerumani kama nimekuelewa vizuri kwani ukianglia ktk historia yetu hata wasambaa au watu wa Tanga pia walitawaliwa na wajerumani kule usambara na mpka leo ukienda utaona mabaki yao kwenye milima ya usambara lkn hawana watu hawana sifa ya maendeleo ktk nchi waliyonayo watu wa mkoa wa kili.., mimi nilikwenda pale nyaraka za taifa (upanga) kusoma historia yetu, niliyoyasoma ni kinyume cha ulichosema ni kwamba hawa wajerumani walivyokuja hata wao walipigwa na butwaa kwa maendeleo walioyakuta huko uchagani na upareni na hata baadhi mkubwa wao aliandika barua kwao kuelezea jinsi hawa watu walivyokuwa na mpangilio wa maisha na kimaendeleo na hii nakala haijaandikwa na mtz bali imetafsiriwa ktko kijerumani miaka hiyo.....
nakala inaendelea kusema kwamba wale wajer walipoamua kuanzisha zao la kahawa wachaga nao walichukua miche na kuanza kupanda kahawa pia ktoka kwa wajerumani na nakala inaendela kusema wakulima wa kichaga wakawa wanashindana na wajerumani ktk uzalishaji ingawaje wao wajerumani walikuwa wanapata msaada wa kiufundi na kitaalamu ktk kwao, kitu ambacho kiliwashangaza sana hawa wakoloni vile vile kule upareni ni hadithi hiyo hiyo nao pia hawako mbali na haya sio maneno yangu bali ni maneno ya wajerumani wenyewe enzi hizo... kwa hiyo mimi nafikiri kwamba ni asilia yenyewe ya hawa watu wa kilimanjaro pamoja na wapare na sio sababu za wajerumani kama upo ningekuomba ukatembelee nyaraka za taifa pale upanga na ujisomee vile ambavyo wakoloni wenyewe walivyogwaya kwa wachaga..
kwa hiyo mimi nasema kwa nini sisi wengine tusiweze kujifunza ktka kwao mimi sioni tatizo...
 
You SEE........! Mlimnyamazisha huyu!

Ngoja niweke quotation kidogo,

"If you resist reading what you disagree with, how will you ever acquire deeper insights into what you believe? The things most worth reading are precisely those that challenge our convictions."

-- Author Unknown

.
 
Well said kabisa. Watu wasipokubaliana na mawazo fulani wanakimbilia kufuta thread. Nadhani thats unfair. Ukweli ni kwamba huwezi panda mabua ukavuna mihogo. Wachaga wanachakalika sana, so yale mazuri tujifunze, ila yale ya kunywa mbege mpaka asubuhi..Mmmhhhh..

Lastly Lazydog...mi nasoma michango yako hapa JF..so who am I? that was a question of your signature! Nipe jibu..hahaha

Bwa Hahaha...! Very interesting.
To be honest, nilishindwa ku-respond mara moja imebidi kudesa kwa rafiki yangu GOOGLE.

"Tell me what you read and I'll tell you who you are" is true enough, but I'd know you better if you told me what you reread." -- François Mauriac

Could you also tell me what you don't read?
If still I cannot tell who you are, I'll have to visit your library.

FYI, I have changed my signature. There was a small technical error.
It helps to know who said so.

:)

.
 
KIJAKAZI nakupongaeza kwa hoja yako ambayo kusema kweli ni ya msingi sana na ni changamoto ambayo inastahili kujadiliwa.
Kuhusu maendeleo ya Wachaga kwanza sababu kubwa ni uzuri wa ardhi waliyonayo ambayo ina misimu miwili ya mvua lakini maji yanayotiririka kutoka mlima Kilimanjaro husadia sana katika kilimo chao.
Kwa hiyo kitu cha pekee walichonacho ndiyo hiyo ardhi ambayo wameweza kuitumia vizuri na maji yanayotiririka kutoka ml. Kilimanjaro na hivyo kupunguza gharama zakilimo hilo la kwanza.
Jambo la pili wamejitahidi kusoma na baada ya kufanikiwa katika hilo, Wakaweza kupata ajira sehemu zenye kipato kikubwa serikalini, kwenye mashirika ya uma na ya watu binafsi.
Jambo la mwisho wana tabia ya kupeana nafasi katika ajira [UPENDELEO] na hii ndiyo mikakati mikubwa sana ambayo huwa wanapamga kila mwaka wanapokutana huko kwao.

LAZDOG hayo uliongea yana msingi lakini kubwa ni hiyo ardhi ambayo unaweza ukalima mazao ya kudumu na mazao mengine ya biashara .
Lakini ukisema kwamba wajerumani waliwafundisha kazi hiyo siyo sababu maana hata huko Tabora kama alivyoeleza ndugu KIJAKAZI Wajerumani wamekaa lakini mimi kwa bahati nzuri mikoa yote hiyo naifahaumu vizuri.
Na unaposema kwamba huwezi ukapata ardhi huko kutokana na kwanza kuwa na ardhi nzuri lakini pia eneo la mkoa wa Kilimanjaro ni dogo na huwezi ukalilinganisha na mkoa wa Tabora.
Kuhusu suala la kufanya kazi wananchi wa mkoa wa Tabora na shinyanga ndio wanasifiika kwa uhodari wa kulima maandalizi ya kilimo cha zao la tumbaku ambalo ndilo zao la biashara katika mkoa wa Tabora hulimwa kila mwaka.
Huwezi ukalinganisha na mazao kama kahawa chai na migomba ambayo na mazao ya kudumu kwa hiyo basi, sababu kubwa iliyopelekea maendeleo unayoyaona huko kilimanjaro kwanza ,ardhi nzuri iliyopo katika mkoa wa kilimanjaro lakini sababu kubwa ni upengeleo viongozi wanaotoka katika mkoa huo.
Na kwa kuwa wananchi wanaotoka katika maeneo hayo wamejikita katika sehemu nyeti za kutoa maamuzi katika nchi hii na hivyo kuwapa frusa ya kutenga mafungu makubwa ya fedha za maendeleo katika mkoa wao.
Katika bajeti ya serikali za mitaa ya mwaka 2000/2001 Manispaa ya Moshi ilitengewa sh. bilion 4.5 na jiji la Mwanza likatengewa sh. bilion 2.5 Na kusababisha mbunge mmoja wa Mwanza ahoji sababu za kupewa fungu kubwa manispaa ya Moshi ukilinganisha na Mwanza ambalo ni jiji. Huu ni mfano mmoja lakini mfano wa hivi karibuni ni pale Mhe Basil Mramba alipotenga sh. bilion 17 kujenga barabara ya Rombo / Tarakea ambayo ni ya vijijini wakati tunazo barabara nyingi za kuunganisha mikoa hazijajengwa na kama mtakumbuka wabunge wengi wa mikoa ya Tabora na kigoma walilamikia sana juu ya ujenzi wa barabara za vijijini na kuacha barabara kuu.
Na wala siyo sula la kucheza ngoma kama ubavyosema ndugu LAZY DOG hata kama wajerumani waliwafundisha wazee wakichaga kulima wasingeweza kupata fedha za kujenga barabara.
 
Back
Top Bottom